Kila mtu ana jambo lake ambalo anajua akilisema watu hawatamuamini

Daah mix ya nyeto na chabo ni hatari sana. Mkuu uko sawa?
 
During covid 19 in 2020 nilisoma kitabu chote Cha Sharply shadow kwa siku moja na hapo hapo nikienda tea break na lunch break kurasa nyingi sana nadhani hakuna atakayeaminiaana nilisoma out of boredome na wasiwasi mwingi wa maisha na kazi
 
Malizia mkuu.. Then ikawaje
 
Kuna mdada alikua secretary ofisini kwetu, aliacha kazi na kuja kunisaidia kulea mtoto nyumbani kwangu. Ilikua ghafla tu, mimba yangu ilivyokua kubwa alisema hataki niteseke, nikafikiri utani ila niliishia kuishi naye vyema kwa miaka mitatu Alimpenda mtoto wangu sana, mtoto alivyoanza kindergaten akaomba kurudi kwao Tabora. Hiyo ilikua almost 17 years ago, baada ya muda tulipotezana akawa hapatikani tena kwenye simu yake. Huwa namkumbuka sana na mpaka leo sijajua kwa nini alifanya yale maamuzi.
 
Kuna mtoto siku Moja uwanjan alikuwa anacheza na wenzake sasa wakampiga akawa akiwakimbiza hawapati akageuka paka wale watoto wakakimbia kutoa taarifa na Mimi nilishuhudia live bila bando ila Kuna M2 ukimwambia anakwambia movie hasa vitoto vya mjini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…