Kila mtu ana jambo lake ambalo anajua akilisema watu hawatamuamini

Kila mtu ana jambo lake ambalo anajua akilisema watu hawatamuamini

Daaah mkuu, pole sana, sanaaaa.
Hili siyo jambo dogo na lina athari kubwa sana kisaikolojia. I hope uko sawa!
Yeah npo sawa sana mkuu ,yalishapitaaa ila jamii hawezi kukubali wanajuaga wanawake ndio wabakwaji tu na c wanaumee🤔
 
Kuna vitu na mliki ila kutokana na lifestyle yangu wanajuaga napewaa ila kiwastani napigana sana.hata nyumban siaminiki ni rahisi sana mim kudhurumika kwn watu wangu wakaribu hawaamini ila kiukwel najitihada nyingi sana
 
أعوذ بالله من الشيطان الرجيم
بِسْمِ اللهِ الرَّحْمٰنِ الرَّحِيْمِ
آمين. نسأل الله أن يحمينا جميعًا ويهدينا إلى الصراط المستقيم.
 
Yeah npo sawa sana mkuu ,yalishapitaaa ila jamii hawezi kukubali wanajuaga wanawake ndio wabakwaji tu na c wanaumee🤔
Hili ni tatizo kubwa sana kwenye jamii zetu. Wavulana na wanaume pia wanaweza kubakwa, elimu zaidi inahitajika!
 
FB_IMG_1739184957345.jpg
 
Back
Top Bottom