Kila mtu atafute sehemu ya ulaji ale. Kula sio dhambi. Ila kuziba ulaji wa wengine ni dhambi na uhalifu

Hapo umetoka nje ya qualifiacation, upo kwenye nafasi, basi kama nawe unataka kulipwa kama mbunge kuwa mbunge, usilazimishe daktari atengeneze mazingira ili avune kama mbunge, atawaumiza wengine.


Unafikiri kwanini madaktari wengi wa serikali wanafanya kazi zaidi ya hospital Moja ?

Je unategemea ufanisi kwa MTU anayelipwa mshahara mdogo huku akiwa na majukumu mengi.

Lazima itokee loophole
 
Ajabu kesho utakuja na uzi wa kupinga ufisadi!.
 
Unataka sekta binafsi na umma zote zilipe sawa!.
Mwalimu wa degree analipwaje serikalini na Degree holder wa Engineering analipwaje ? Au daktari

Kwanini wote wasilipwe the same salary ?
 
Unafikiri kwanini madaktari wengi wa serikali wanafanya kazi zaidi ya hospital Moja ?

Je unategemea ufanisi kwa MTU anayelipwa mshahara mdogo huku akiwa na majukumu mengi.

Lazima itokee loophole
Wapo madaktari waliokimbia udaktari wakaenda kuwa wabunge, Kigwa.

Na hao wanaofanya kazi nje ya kituo chao cha kazi sio kosa, ni haki yao, huyu mleta mada anachochea ufisadi kwenye huu uzi wake, hujamuelewa.

Anaposema kila mtu atafute sehemu ya kula ale maana yake nini?! Anaweza tengeneza dili hata ndani ya ofisi yake akala kinyume cha sheria.
 
Mwalimu wa degree analipwaje serikalini na Degree holder wa Engineering analipwaje ? Au daktari

Kwanini wote wasilipwe the same salary ?
Mbona simple tu, kama hapo ulipo unaona unapunjwa, jiongeze ukatafute nafasi huko unapoona wanalipwa zaidi.
 


Mtoa mada kaongea ukweli wa mambo na namna ya kuelewa.

Kila MTU yupo after something

Mtoa mada kiasili ni realistic Huwa anaongea ukweli kwa 100%
 
Umenikumbusha ile lugha ya Mbowe alivyolaumiwa ule wakati wa mazishi ya Mzee Mtei. Waswahili na kiswahili, hii lugha imekaa kitapeli sana, hayo yote uliyoandika ni uswahili, kiswahili; hivi ungeandika kingereza ungeandikaje?

Yaani kila mtu aibe, atoe rushwa, afanye mambo yasiyo na mpangilio? Sasa mkiiba kila kitu nani atazalisha? Watu wanfanya kazi kutokana na motivation, sasa haya maelezo hapo juu si kupotosha?
 
Ndipo nasema hao unaosema wanafanya ulaji, wanatapeli watu na kuwaibia.. mfano kama pastor wengi ni matapeli..

Wanawauzia watu matumaini. So wanawapa kitu ambacho hawana.

Unatoa pesa, anakupa matumaini hata kama ni yauongo. Wewe unajisikia vizuri
 

Sijasema watu waibe soma vizuri Mkuu.

Nimesema kila mtu atafute sehemu ya ulaji wake. Wengine wanatengeneza mfumo wa ulaji.
Bila kuziba ulaji wa wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…