Kila mtu atafute sehemu ya ulaji ale. Kula sio dhambi. Ila kuziba ulaji wa wengine ni dhambi na uhalifu

Kila mtu atafute sehemu ya ulaji ale. Kula sio dhambi. Ila kuziba ulaji wa wengine ni dhambi na uhalifu

Wanawauzia watu matumaini. So wanawapa kitu ambacho hawana.

Unatoa pesa, anakupa matumaini hata kama ni yauongo. Wewe unajisikia vizuri
Unakumbuka kile kisa cha wale waumini waliofariki kule Kenya kwa kuambiwa wafunge bila kula?

Kuna hawa vijana siku hizi wanajiita waganga, aisee hawa masheikh, pastor, wanacheza na maisha ya watu.. wameharibu maisha ya vijana ...
 
Unakumbuka kile kisa cha wale waumini waliofariki kule Kenya kwa kuambiwa wafunge bila kula?

Kuna hawa vijana siku hizi wanajiita waganga, aisee hawa masheikh, pastor, wanacheza na maisha ya watu.. wameharibu maisha ya vijana ...

Hii Dunia ukitaka kuchezewa maisha yako ni wewe mwenyewe.

Siku hizi wala hakuna uonevu kama Zaman.
Wengi wanajipeleka wenyewe kwa hiyari yao. Jambo ambalo sio dhambi wala kosa
 
Ulaji kama ulaji mkuu.
Usiipe maana hasi
===================Quote
Mfumo lazima ukufanye umiliki watu. Hili nilishaeleza kwenye makala yangu isemayo Miliki watu upate utajiri.

Kisha mahitaji na matamanio ya watu,
Imani za watu,
Na hofu za watu.
Huko ndiko mfumo wako wa ulaji uwe.

Sehemu ziko nyingi za kujitengenezea ulaji;
a) Imani za watu.
Kama Dini, anzisha huduma ya kiroho uwe muislam au mkristo lazima upate hela. Nakuhakikishia lazima. Utakachohitaji ni consistency tuu.

Uganga wa jadi, au motivation speaker kote huko ulaji upo.

b) Matamanio na mahitaji ya watu.
Hapa utahitaji ujuzi, huduma, au bidhaa.
Mtibeli sitakuwa mchoyo. Ukitaka kujua matamanio na mahitaji ya watu Angalia
i) kundi gani linaidadi ya watu. Hapa utakuta vijana na wanawake.
ii) Mahitaji yao ya msingi ni yapi?
Chakula, mavazi, makazi, burudani, na usalama.
Usitoke humo

iii) Hofu yao ni ipi?
Hofu ya kwanza ya binadamu ni Kifo.
Hofu ya pili ni Kesho(future),
Wengi wanajiandaa na kesho.
Biashara za hofu zinapesa ndefu na nyingi zipo kitapeli. Yaani unakula pesa kilaini sana.
=============Unquote
Wewe hapo umepotosha kwa negativity, hasa "hofu"; negativity, kazi si adhabu, wala hofu; ukiwa na motivation unafurahia kazi yako, siyo punishment. Ndiyo maana hii lugha wengi wetu ni washaili na wengi wa pwani, wamezoea kutumia uongo uongo kuishi ndiyo maana tumefikia hapa. Kazi ni heshima, reward.
 
Hata hivyo, ulimwengu umewekwa katika mfumo wa ushindani, kwamba ili uwe bora sharti upitie vikwazo, viunzi. Kwa namna hiyo katika mapambano ya maisha mtu hapaswi kulialia pale anapokutana na vizuizi, kwani ili uvuke hatua inayofuata lazima upitie daraja, kiunzi.
Survival of the fittest ,only the strong will survive.
 
Back
Top Bottom