Kila mwanamke anataka kuolewa na Mwanaume mrefu tu

Haya yote Extrovert aliyasema huko juu akimquote mtu Fulani.Wstu wafupi wanakuwa na love ya ukweli kutoka. Moyoni
Ila punguza ukali wa maneno,usituite andunje bana๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„
Mapenzi tu aah wamejaliwa wale watu jamani๐Ÿ˜ yaani ukiwa naye hata huna stress sjui atakucheat hamna.
Na huwezi muomba kitu akakunyima labda asiwe nacho kwa wakati huo, na atapambana hadi akupatie.

Aah aki mna nafasi yenu mbinguni yenye AC na free WIFI๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Ila hawa tall dark handsome aloooo ni kama Azam burudani kwa wote full stress๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Kabla uzi haujaenda mbali, je mwanaume mfupi mwisho futi ngapi?
 
Huwa unatoaga nondo nzito sana mkuu,
heshima kwako


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kizazi cha Seedco๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ