Kila mwanamke anataka kuolewa na Mwanaume mrefu tu

Kila mwanamke anataka kuolewa na Mwanaume mrefu tu

Sisi warefu tutapendaje wafupi? Ila kama Mungu kakupa huyo unashukuru
 
Me ni mrefu 5.9 lakini napenda wanawake wafupi wanachangamsha sana
one love kwa manzi wafupi wote i love ya!
 
Mbona mm ni mrefu 6'3 ila kila nkitongoza wadada nakataliwa, Mm ni mweusi, nikitabasamu nina sura Na masikio kama ya obama, nakwama wapi? Huo urefu mnaosemea ni upi?
 
Mbona mm ni mrefu 6'3 ila kila nkitongoza wadada nakataliwa, Mm ni mweusi, nikitabasamu nina sura Na masikio kama ya obama, nakwama wapi? Huo urefu mnaosemea ni upi?
Urefu kwenda chini
 
Mimi ni mfupi 5.5 naolewa na 5.5.
..[emoji15]natafuta nn kama siyo kuja kulaumiwa na wanangu Kwa kuzaliwa mojakimo[emoji849]
Ulivyosema 5.5' nimecheka sana maana nina hiyo height pia lakini nilishavuka hiyo step ya kujigrade mfupi
 
Back
Top Bottom