Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,273
- 13,567
na ndio maana wanawake weng huamini mwanaume ndo huanz kufa!Wanawake malaya na wenye matatizo ya akili wamechukia sana Hakim kuwafumbua macho wanaume hasa ktk nyakat hizi ambazo wanawake wengi walio wapumbavu hukimbilia na kulazimisha kuolewa na wanaume wenye mali ili waje wagawane...
Wanaume wapumbavu na washamba ambao mali zao zote hawajazitafuta kwa jasho lao, yaan kama ni nyumba kajenga kwenye kiwanja cha mkewe, gari alimuomba mkewe akakope vicoba aongezee pesa, yaani kilakitu ameshea na mwanamke... Wanaume hawa ndio wanaponda wanaume wanaomsifia Hakim kwasabab wao tayar hawana wanachomilik kwa jasho lao...
Hii dunia sio ya kumuonyesha mkeo mali zako, wanawake wapo na wewe wanasubir ufe au wakuue au wavunje ndoa wadai mali zako mahakaman...
Sikuhiz dunia na sheria zipo wazi mali zako andikisha kisheria ukifa arithi watoto wako na ukiona kuna dalili ya ndoa yako kufa badirisha majina ya mali zako...
All in all KATAA NDOA UISHI KWA AMANI
...mmojawapo ya waliorogwa.!
Ametuwakilisha kama hutaki basiJana status zote, comments kumsifia hakimi kwa maamuzi yake Mali zote kuandika jina la mama yake.
Hivi nyie mwanaume wa Tanzania mna weza kufanya hivo Kuna kitu hamkijui ngoja niwape Siri ukishaingia kwenye Ndoa tunawaroga mtulie kila nachosema unisikilize huo muda wa kuandika jina la kizee kwenye Mali zako unautoa wapi.
Nyie ni kuwaroga tu ndo dawa yenu
Jana status zote, comments kumsifia hakimi kwa maamuzi yake Mali zote kuandika jina la mama yake.
Hivi nyie mwanaume wa Tanzania mna weza kufanya hivo Kuna kitu hamkijui ngoja niwape Siri ukishaingia kwenye Ndoa tunawaroga mtulie kila nachosema unisikilize huo muda wa kuandika jina la kizee kwenye Mali zako unautoa wapi.
Nyie ni kuwaroga tu ndo dawa yenu
🤣🤣Ni mbinafsi katili....anaweza kukufanyia lolote ndani coz anajua hata ukiondoka huambulii kitu.Afu ndo mseme mabinti wasisomeshwe,wasiwe na Kaz......haya binti kapoteza muda Kwa miaka mi3 na kuzalishwa juu afu kabaki maskini.MI KIUKWELI KATAA NDOA NIMEANZA KUWAELEWA.NDOA NI JEHANAMU
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣👺👹👹👹👹👹👹👹👹👹👹👹
Hahahaa! One day yes Mkuu. 😂Mali zenyewe tunazo sasa.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimekuelewa sana hii kitu si kila mtu anaweza kufanya.Wana hizo mali sasa,mtu ana nyumba moja ya milioni 30 na ki ist naye anasema aandike majina ya mama ili akiachana na mkewe wasigawane mali alafu ana watoto watatu
Kiufupi hii technique haiapply kwa kila mtu,imagine kwenu mko watano alafu bahati mbaya mama akate moto ndo utajua hujui
Bigup Hakimi we ni gentleman
Wanajishaua tu akati mali zenyewe hawanaNimekuelewa sana hii kitu si kila mtu anaweza kufanya.
Nani alimtuma asiwe mtii kwa mumewe,muda gani amepoteza si aliambatana na mumewe akaamua kumuacha ili apewe mali,sasa msela ni kapuku tu hana hela hizo unazoziona sio zakeNi mbinafsi katili....anaweza kukufanyia lolote ndani coz anajua hata ukiondoka huambulii kitu.Afu ndo mseme mabinti wasisomeshwe,wasiwe na Kaz......haya binti kapoteza muda Kwa miaka mi3 na kuzalishwa juu afu kabaki maskini.MI KIUKWELI KATAA NDOA NIMEANZA KUWAELEWA.NDOA NI JEHANAMU
Sawasawa mkuuNani alimtuma asiwe mtii kwa mumewe,muda gani amepoteza si aliambatana na mumewe akaamua kumuacha ili apewe mali,sasa msela ni kapuku tu hana hela hizo unazoziona sio zake
Inaonekana wewe unapenda sana ushirikina.Nyie ni kuwaroga tu ndo dawa yenu
Kuheshimu wazazi sio kosa, jaribu itakusaidia na acha kuingiza hisia kwenye mada.Utakuta kuna baadhi ya akina mama.nao ni wasela mavi,unamuamdika kwenye mali zako naye anakwenda kuhonga mwanaume mwingine au Serengeti boy anayemnyandua.
Ni shiidaa sana.
Jana status zote, comments kumsifia hakimi kwa maamuzi yake Mali zote kuandika jina la mama yake.
Hivi nyie mwanaume wa Tanzania mna weza kufanya hivo Kuna kitu hamkijui ngoja niwape Siri ukishaingia kwenye Ndoa tunawaroga mtulie kila nachosema unisikilize huo muda wa kuandika jina la kizee kwenye Mali zako unautoa wapi.
Nyie ni kuwaroga tu ndo dawa yenu