Kila mwanaume Jana amempost hakimi

Kila mwanaume Jana amempost hakimi

Utakuta kuna baadhi ya akina mama.nao ni wasela mavi,unamuamdika kwenye mali zako naye anakwenda kuhonga mwanaume mwingine au Serengeti boy anayemnyandua.

Ni shiidaa sana.
 
Wanawake malaya na wenye matatizo ya akili wamechukia sana Hakim kuwafumbua macho wanaume hasa ktk nyakat hizi ambazo wanawake wengi walio wapumbavu hukimbilia na kulazimisha kuolewa na wanaume wenye mali ili waje wagawane...
Wanaume wapumbavu na washamba ambao mali zao zote hawajazitafuta kwa jasho lao, yaan kama ni nyumba kajenga kwenye kiwanja cha mkewe, gari alimuomba mkewe akakope vicoba aongezee pesa, yaani kilakitu ameshea na mwanamke... Wanaume hawa ndio wanaponda wanaume wanaomsifia Hakim kwasabab wao tayar hawana wanachomilik kwa jasho lao...
Hii dunia sio ya kumuonyesha mkeo mali zako, wanawake wapo na wewe wanasubir ufe au wakuue au wavunje ndoa wadai mali zako mahakaman...
Sikuhiz dunia na sheria zipo wazi mali zako andikisha kisheria ukifa arithi watoto wako na ukiona kuna dalili ya ndoa yako kufa badirisha majina ya mali zako...
All in all KATAA NDOA UISHI KWA AMANI
 
Naamini hii mbinu ya Ashraf hakimi itatuokoa wanaume na KURESTISHWA in peace wanawake pale vichenchi vikiongezeka!...mwanamke atamiliki watoto tu! ova!
 
Wanawake malaya na wenye matatizo ya akili wamechukia sana Hakim kuwafumbua macho wanaume hasa ktk nyakat hizi ambazo wanawake wengi walio wapumbavu hukimbilia na kulazimisha kuolewa na wanaume wenye mali ili waje wagawane...
Wanaume wapumbavu na washamba ambao mali zao zote hawajazitafuta kwa jasho lao, yaan kama ni nyumba kajenga kwenye kiwanja cha mkewe, gari alimuomba mkewe akakope vicoba aongezee pesa, yaani kilakitu ameshea na mwanamke... Wanaume hawa ndio wanaponda wanaume wanaomsifia Hakim kwasabab wao tayar hawana wanachomilik kwa jasho lao...
Hii dunia sio ya kumuonyesha mkeo mali zako, wanawake wapo na wewe wanasubir ufe au wakuue au wavunje ndoa wadai mali zako mahakaman...
Sikuhiz dunia na sheria zipo wazi mali zako andikisha kisheria ukifa arithi watoto wako na ukiona kuna dalili ya ndoa yako kufa badirisha majina ya mali zako...
All in all KATAA NDOA UISHI KWA AMANI
na ndio maana wanawake weng huamini mwanaume ndo huanz kufa!
 
Screenshot_20230415-164122.jpg
 
Jana status zote, comments kumsifia hakimi kwa maamuzi yake Mali zote kuandika jina la mama yake.

Hivi nyie mwanaume wa Tanzania mna weza kufanya hivo Kuna kitu hamkijui ngoja niwape Siri ukishaingia kwenye Ndoa tunawaroga mtulie kila nachosema unisikilize huo muda wa kuandika jina la kizee kwenye Mali zako unautoa wapi.

Nyie ni kuwaroga tu ndo dawa yenu
Ametuwakilisha kama hutaki basi
 
Na huko kuwaroga ndio kunazidi kuwazaa kina mama Hakimi wengi
Vita ya mama mzazi na mke wa mwanae haijawahiiacha ndoa salama

Ogopa sana kugombana na mwenye njia iliyompitisha mume kuja duniani
 
Ni mbinafsi katili....anaweza kukufanyia lolote ndani coz anajua hata ukiondoka huambulii kitu.Afu ndo mseme mabinti wasisomeshwe,wasiwe na Kaz......haya binti kapoteza muda Kwa miaka mi3 na kuzalishwa juu afu kabaki maskini.MI KIUKWELI KATAA NDOA NIMEANZA KUWAELEWA.NDOA NI JEHANAMU
🤣🤣
 
Wana hizo mali sasa,mtu ana nyumba moja ya milioni 30 na ki ist naye anasema aandike majina ya mama ili akiachana na mkewe wasigawane mali alafu ana watoto watatu
Kiufupi hii technique haiapply kwa kila mtu,imagine kwenu mko watano alafu bahati mbaya mama akate moto ndo utajua hujui
Bigup Hakimi we ni gentleman
 
Nimekuelewa sana hii kitu si kila mtu anaweza kufanya.
 
Ni mbinafsi katili....anaweza kukufanyia lolote ndani coz anajua hata ukiondoka huambulii kitu.Afu ndo mseme mabinti wasisomeshwe,wasiwe na Kaz......haya binti kapoteza muda Kwa miaka mi3 na kuzalishwa juu afu kabaki maskini.MI KIUKWELI KATAA NDOA NIMEANZA KUWAELEWA.NDOA NI JEHANAMU
Nani alimtuma asiwe mtii kwa mumewe,muda gani amepoteza si aliambatana na mumewe akaamua kumuacha ili apewe mali,sasa msela ni kapuku tu hana hela hizo unazoziona sio zake
 
Sawasawa mkuu
 
Ndo thread tayari? jF imeingiliwa

Back
Top Bottom