Kila mwanaume Jana amempost hakimi

Tatizo vijana wamekataa ndoa utamloga nan sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kuheshimu wazazi sio kosa, jaribu itakusaidia na acha kuingiza hisia kwenye mada.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna hisia hapo ni kweli tupu kwa umri wangu nimeona mengi na bado naendelea kuona.
Naheshimu sana wazazi lakini sio kumiliki mali zangu.
Wao wamiliki zao nami namiliki zangu.

Kama wewe bado hujaoa pole sana endelea kumpa mali zako zote mama yako (kama unazo) halafu wewe uwe unamuomba.
 
Wamama wa kibongo ukimpa mali akushikie utazikuta kwa mwamposa
 
Kawaloge wasangi wenzako huko kwenu mwanga upareni
 
Mke anayemuita mother in law "Kizee" ni GIANT RED FLAG kwenye mahusiano huyo jamaa atakayekuoa bila shaka atakuwa hana akili kama wewe.
 
"She's just SEEKING assets she's LEGALLY ENTITLED to"... BULLSHIT. Gentleman is the metaphorical definition of a "mental retarded simp"
 
Vipi mkuu unadhani wazazi wote ni wazee watoto na malaya? You got what you got don't generalize.
 
1. Kwenye hiyo ndoa alifuata mapenzi au pesa?
2. Na kama ni kuzaa kwani Hakimi kasema hatatunza mtoto?
3. Nimeshangaa umesema atabaki masikini kwani ameenda kwa Hakimi ili avune utajiri?? Hakimi anaumia uwanjani amehangaika kupambana mpaka kukuza kipaji chake hata huyo mwanamke probably hakuwepo amepata mali zake. Sasa just because wewe ulikuwa unanivulia chup* na tukazaa mtoto ndio kibali cha kuchukua nusu ya mali yangu ambayo nimeipata kwa machozi na damu??
4. Wanawake mkubali nyie hamna mapenzi kwenye ndoa mna agenda zenu. Na mtu akifanya tofauti na agenda zenu ndio anakuja na hoja dhaifu km hizi.
5. Muwe mnasema kabisa tupo kimaslahi na sio mapenzi ili twende sawa. Vingevyo wanaume wote tunasemajeeeee "Ngastuka Machale Kundesa"

Tutawafurahisha.
 
Sawa mkuu
 
Sio kila mwanaume baba angu hana smart phone na mm sijampost.
 
Ningekuwa msanii wa bongo fleva ningetunga ngoma kuiita hakimi kabla hii trend yake haijapoa.

Kwa hiyo mimi na Baba yangu wanawake? Maana hata habari yake nimechunguza baada ya kuona andiko lake, sikuijua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…