Kila mwanaume Jana amempost hakimi

Kila mwanaume Jana amempost hakimi

Jana status zote, comments kumsifia hakimi kwa maamuzi yake Mali zote kuandika jina la mama yake.

Hivi nyie mwanaume wa Tanzania mna weza kufanya hivo Kuna kitu hamkijui ngoja niwape Siri ukishaingia kwenye Ndoa tunawaroga mtulie kila nachosema unisikilize huo muda wa kuandika jina la kizee kwenye Mali zako unautoa wapi.

Nyie ni kuwaroga tu ndo dawa yenu
Tatizo vijana wamekataa ndoa utamloga nan sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kuheshimu wazazi sio kosa, jaribu itakusaidia na acha kuingiza hisia kwenye mada.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna hisia hapo ni kweli tupu kwa umri wangu nimeona mengi na bado naendelea kuona.
Naheshimu sana wazazi lakini sio kumiliki mali zangu.
Wao wamiliki zao nami namiliki zangu.

Kama wewe bado hujaoa pole sana endelea kumpa mali zako zote mama yako (kama unazo) halafu wewe uwe unamuomba.
 
Wamama wa kibongo ukimpa mali akushikie utazikuta kwa mwamposa
 
Jana status zote, comments kumsifia hakimi kwa maamuzi yake Mali zote kuandika jina la mama yake.

Hivi nyie mwanaume wa Tanzania mna weza kufanya hivo Kuna kitu hamkijui ngoja niwape Siri ukishaingia kwenye Ndoa tunawaroga mtulie kila nachosema unisikilize huo muda wa kuandika jina la kizee kwenye Mali zako unautoa wapi.

Nyie ni kuwaroga tu ndo dawa yenu
Kawaloge wasangi wenzako huko kwenu mwanga upareni
 
Jana status zote, comments kumsifia hakimi kwa maamuzi yake Mali zote kuandika jina la mama yake.

Hivi nyie mwanaume wa Tanzania mna weza kufanya hivo Kuna kitu hamkijui ngoja niwape Siri ukishaingia kwenye Ndoa tunawaroga mtulie kila nachosema unisikilize huo muda wa kuandika jina la kizee kwenye Mali zako unautoa wapi.

Nyie ni kuwaroga tu ndo dawa yenu
Mke anayemuita mother in law "Kizee" ni GIANT RED FLAG kwenye mahusiano huyo jamaa atakayekuoa bila shaka atakuwa hana akili kama wewe.
 
jay-millions

The best comment of the year🥰🥰🥰🥰🥰

Am super exited to see that there still Gentleman out there.

People are acting like she’s screwing him over when she’s just seeking assets she’s legally entitled to..especially because she’ll probably end up with majority custody of their child

🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗
🔨🔨🔨🔨🔨🔨🔨🔨🔨🔨🔨
"She's just SEEKING assets she's LEGALLY ENTITLED to"... BULLSHIT. Gentleman is the metaphorical definition of a "mental retarded simp"
 
Hakuna hisia hapo ni kweli tupu kwa umri wangu nimeona mengi na bado naendelea kuona.
Naheshimu sana wazazi lakini sio kumiliki mali zangu.
Wao wamiliki zao nami namiliki zangu.

Kama wewe bado hujaoa pole sana endelea kumpa mali zako zote mama yako (kama unazo) halafu wewe uwe unamuomba.
Vipi mkuu unadhani wazazi wote ni wazee watoto na malaya? You got what you got don't generalize.
 
Ni mbinafsi katili....anaweza kukufanyia lolote ndani coz anajua hata ukiondoka huambulii kitu.Afu ndo mseme mabinti wasisomeshwe,wasiwe na Kaz......haya binti kapoteza muda Kwa miaka mi3 na kuzalishwa juu afu kabaki maskini.MI KIUKWELI KATAA NDOA NIMEANZA KUWAELEWA.NDOA NI JEHANAMU
1. Kwenye hiyo ndoa alifuata mapenzi au pesa?
2. Na kama ni kuzaa kwani Hakimi kasema hatatunza mtoto?
3. Nimeshangaa umesema atabaki masikini kwani ameenda kwa Hakimi ili avune utajiri?? Hakimi anaumia uwanjani amehangaika kupambana mpaka kukuza kipaji chake hata huyo mwanamke probably hakuwepo amepata mali zake. Sasa just because wewe ulikuwa unanivulia chup* na tukazaa mtoto ndio kibali cha kuchukua nusu ya mali yangu ambayo nimeipata kwa machozi na damu??
4. Wanawake mkubali nyie hamna mapenzi kwenye ndoa mna agenda zenu. Na mtu akifanya tofauti na agenda zenu ndio anakuja na hoja dhaifu km hizi.
5. Muwe mnasema kabisa tupo kimaslahi na sio mapenzi ili twende sawa. Vingevyo wanaume wote tunasemajeeeee "Ngastuka Machale Kundesa"

Tutawafurahisha.
 
1. Kwenye hiyo ndoa alifuata mapenzi au pesa?
2. Na kama ni kuzaa kwani Hakimi kasema hatatunza mtoto?
3. Nimeshangaa kusema atabaki masikini. Hivi Hakimi anaumia uwanjani amehangaika kupambana mpaka amepata mali zake. Just because wewe ulikuwa unanuvulia chup* na tukazaa mtoto ndio kibali cha kuchukua nusu ya mali yangu??
4. Wanawake mkubali nyie hamna mapenzi kwenye ndoa mna agenda zenu. Na mtu akifanya tofauti na agenda zenu ndio anakuja na hoja dhaifu km hii.
5. Muwe mnasema kabisa tupo kimaslahi na sio mapenzi ili twende sawa
Sawa mkuu
 
Sio kila mwanaume baba angu hana smart phone na mm sijampost.
 
Ningekuwa msanii wa bongo fleva ningetunga ngoma kuiita hakimi kabla hii trend yake haijapoa.

Kwa hiyo mimi na Baba yangu wanawake? Maana hata habari yake nimechunguza baada ya kuona andiko lake, sikuijua
 
Back
Top Bottom