Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Ndo thread tayari? jF imeingiliwa
Umepotea weww mchawi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo thread tayari? jF imeingiliwa
Tatizo vijana wamekataa ndoa utamloga nan sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jana status zote, comments kumsifia hakimi kwa maamuzi yake Mali zote kuandika jina la mama yake.
Hivi nyie mwanaume wa Tanzania mna weza kufanya hivo Kuna kitu hamkijui ngoja niwape Siri ukishaingia kwenye Ndoa tunawaroga mtulie kila nachosema unisikilize huo muda wa kuandika jina la kizee kwenye Mali zako unautoa wapi.
Nyie ni kuwaroga tu ndo dawa yenu
Hakuna hisia hapo ni kweli tupu kwa umri wangu nimeona mengi na bado naendelea kuona.Kuheshimu wazazi sio kosa, jaribu itakusaidia na acha kuingiza hisia kwenye mada.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kawaloge wasangi wenzako huko kwenu mwanga upareniJana status zote, comments kumsifia hakimi kwa maamuzi yake Mali zote kuandika jina la mama yake.
Hivi nyie mwanaume wa Tanzania mna weza kufanya hivo Kuna kitu hamkijui ngoja niwape Siri ukishaingia kwenye Ndoa tunawaroga mtulie kila nachosema unisikilize huo muda wa kuandika jina la kizee kwenye Mali zako unautoa wapi.
Nyie ni kuwaroga tu ndo dawa yenu
Waache wazekee nyumbani hapo wakisubiri hayo maboya.Mwanaume kama huyo sikubali amuoe hata dadangu au binti yangu
Mke anayemuita mother in law "Kizee" ni GIANT RED FLAG kwenye mahusiano huyo jamaa atakayekuoa bila shaka atakuwa hana akili kama wewe.Jana status zote, comments kumsifia hakimi kwa maamuzi yake Mali zote kuandika jina la mama yake.
Hivi nyie mwanaume wa Tanzania mna weza kufanya hivo Kuna kitu hamkijui ngoja niwape Siri ukishaingia kwenye Ndoa tunawaroga mtulie kila nachosema unisikilize huo muda wa kuandika jina la kizee kwenye Mali zako unautoa wapi.
Nyie ni kuwaroga tu ndo dawa yenu
"She's just SEEKING assets she's LEGALLY ENTITLED to"... BULLSHIT. Gentleman is the metaphorical definition of a "mental retarded simp"jay-millions
The best comment of the year🥰🥰🥰🥰🥰
Am super exited to see that there still Gentleman out there.
People are acting like she’s screwing him over when she’s just seeking assets she’s legally entitled to..especially because she’ll probably end up with majority custody of their child
🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗
🔨🔨🔨🔨🔨🔨🔨🔨🔨🔨🔨
Vipi mkuu unadhani wazazi wote ni wazee watoto na malaya? You got what you got don't generalize.Hakuna hisia hapo ni kweli tupu kwa umri wangu nimeona mengi na bado naendelea kuona.
Naheshimu sana wazazi lakini sio kumiliki mali zangu.
Wao wamiliki zao nami namiliki zangu.
Kama wewe bado hujaoa pole sana endelea kumpa mali zako zote mama yako (kama unazo) halafu wewe uwe unamuomba.
1. Kwenye hiyo ndoa alifuata mapenzi au pesa?Ni mbinafsi katili....anaweza kukufanyia lolote ndani coz anajua hata ukiondoka huambulii kitu.Afu ndo mseme mabinti wasisomeshwe,wasiwe na Kaz......haya binti kapoteza muda Kwa miaka mi3 na kuzalishwa juu afu kabaki maskini.MI KIUKWELI KATAA NDOA NIMEANZA KUWAELEWA.NDOA NI JEHANAMU
Sawa mkuu1. Kwenye hiyo ndoa alifuata mapenzi au pesa?
2. Na kama ni kuzaa kwani Hakimi kasema hatatunza mtoto?
3. Nimeshangaa kusema atabaki masikini. Hivi Hakimi anaumia uwanjani amehangaika kupambana mpaka amepata mali zake. Just because wewe ulikuwa unanuvulia chup* na tukazaa mtoto ndio kibali cha kuchukua nusu ya mali yangu??
4. Wanawake mkubali nyie hamna mapenzi kwenye ndoa mna agenda zenu. Na mtu akifanya tofauti na agenda zenu ndio anakuja na hoja dhaifu km hii.
5. Muwe mnasema kabisa tupo kimaslahi na sio mapenzi ili twende sawa
Amini unachoamini.Vipi mkuu unadhani wazazi wote ni wazee watoto na malaya? You got what you got don't generalize.
This isn't about beliefs, but facts.Amini unachoamini.
Stay with your facts))!!This isn't about beliefs, but facts.
Ningekuwa msanii wa bongo fleva ningetunga ngoma kuiita hakimi kabla hii trend yake haijapoa.