Kila nchi ina haki ya kuwa na silaha za aina zote

Mtu ambaye unasema ni hamnazo umetumia muda wako kumjibu?

Wow!

You’re so smart 🤣🤣.
 
G7 wamejadili yao, na tarehe 24-25 NATO watajadili yao; kumbuka Urusi, China si wanachama na hawana madhara kidunia kuanzia uchumi n.k​
Kwahyo wamejadili kumpiga urusi😄😄😄 MAREKANI atawasaliti hao wengne hata jogoo ajawika na hao 6 walobaki watachakaa vibaya mno, huyo japani ndo atafutika Duniani
 
Una huruma au jeuri tu?

Kumbuka kuna viumbe among us wanaitwa The Watchers wopo tokea binadamu wa kale hawawezi ona maangamizi, wahuni lazima wadhibitiwe, sometimes ukiona mambo yatokeayo duniani chukulia tu kama echo systems. Tambua tu iran hawakuwa watu wazuri. Yaliyotokea Mars siyo muda wake Sasa, itafika time Kila nchi upendavyo itakuwa na hizo silaha utakazo na mtalipuana then dunia itakuwa reset for new generation
 
🖕🖕
 
Dunia bila kuwa na Kiranja watu wenye kaswende ya Ubongo kama Ayatollah wangeisumbuwa sana dunia.

Dunia imejifunza kwa Hitler hawatoachwa tena vichaa wafanye watakavyo.
 
Unaposema nchi fulani ifutwe kwenye ramani ya dunia, na umekua ukifanya kweli kwa kufadhili ugaidi dhidi ya hiyo nchi, basi tegemea kupumuliwa shingoni kila unaposaka silaha za maangamizi makubwa, maana existence ya hilo taifa ni haki yao, na kila mtoto anayezaliwa atakua anakuwaza tu namna ya kukuchelewesha.
Ikumbukwe hata Mohammad mwenyewe alihusika kwenye ugaidi wa kuchinja Wayahudi wa Qurayza na kuuza watoto wao utumwani
 
Ni sahihi, hata Marekani yenyewe ndani ya nchi wanaruhusu raia yeyote kumiliki silaha, hadi vichaa.
Ukraine kama ingekuwa na nyuklia isingevamiwa na Urusi.
 
Ni sahihi, hata Marekani yenyewe ndani ya nchi wanaruhusu raia yeyote kumiliki silaha, hadi vichaa.
Ukraine kama ingekuwa na nyuklia isingevamiwa na Urusi.
Facts!

Ukraine ilikuwaga nazo hizo silaha lakini ikashawishiwa iziangamize.

Ona sasa kilichowatokea.

Kiduku wa North Korea kila siku anachimba biti la kuwaangamiza South Korea lakini hakuna anayemletea chokochoko.

Na yeye anajua kuwa South Korea wanazo nyuklia, hivyo anaishia kuropoka maneno tu maana anajua akilianzisha, na wao watajibu kwa namna ile ile.
 
Jaribu kupevuka ki fikra kidogo..Je hata nchi yako kila raia anaruhusiwa kumiliki silaha/bunduki?? Kama sivyo kwa nini??? Miaka ya nyuma kuna jirani yangu(sasa ni marehemu) tajiri sana alipambana sana kumiliki bunduki ila alikwama sababu hakuwa na background nzuri hapa mtaani , kuanzia serikali za mtaa aliwekewa pingamizi kwenye documents za maombi .. jiulize ni kwa nini???
 
You’re comparing apples to oranges!

Stupid nincompoop.

Kwa hiyo 2003 Marekani ilikuwa sawa kuanzisha vita dhidi ya Iraq kwa sababu Iraq ilikuwa na silaha za maangamizi?

Nimeuliza tu licha ya kwamba ni mambo yaliyokuzidi kimo.

Nevertheless, jibu kama unaweza….
 
Mbona umeumia sana
 
Tatizo sio kuwa na nyuklia hata Pakistan anazo tatizo ni adabu na nyuklia haiwezekani pale ukobazini muda wote wao ni kuifuta Israel kwenye uso wa dunia muda wote ni Death to Israel hapo ndipo alipouponza , Israel tena imewachelewesha sana hawakutakiwa kuwa hata na baruti za happy birth day hapo ukobazini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…