Naunga mkono Iran kuwa na silaha za nyuklia.
Naunga mkono hata Tanzania kuwa nazo.
Namna pekee ya kuheshimiana hapa duniani ni kila nchi ikiwa na silaha za maangamizi makubwa.
Iran ingekuwa nazo hizo silaha za nyuklia, Israel na Marekani zisingethubutu kuishambulia.
Iran haijatenda kosa lolote lile lakini imeshambuliwa na mataifa mawili yenye silaha za nyuklia.
Huo ni uchokozi na uonevu.
Tena hiyo Israel inazo hizo silaha za nyuklia na hakuna anayenyanyuka na kusema kuwa hiyo nchi haipaswi kuwa nazo.
Halafu ni nani huyo ambaye alizipa ruhusa hizo nchi nyingine zenye hizo silaha kuwa nazo?
Nani aliipa Marekani ruhusa ya kuwa na hizo silaha? Na Marekani inatoa wapi mamlaka ya kuamua huyu au yule hapaswi kuwa nazo silaha za nyuklia?
Unafiki wa kiwango cha daraja la kwanza.
Maana kama kuna nchi hapa duniani ambayo haipaswi kabisa kuwa nazo hizo silaha, basi nchi hiyo ni Marekani ikifuatiwa na Israel.
Marekani ndo nchi pekee ambayo imekuwa ikizivamia nchi zingine na kuzilipua bila sababu zozote za msingi.
Wakati mwingine Marekani hutunga hata uongo wa sababu za kuzivamia nchi zingine.
Walijiingiza kwenye vita huko Vietnam. Watu ambao waliipinga hiyo vita ya Vietnam wakati huo, wengine walifungwa jela na wengine walinyanyaswa na kuitwa ni wasaliti.
Mfano Muhammad Ali na Martin Luther King Jr.
Ali alinyang’anywa hadi mkanda wake wa ubingwa wa ndondi na kufungwa jela kwa kukataa kwenda vitani dhidi ya watu ambao hakuwa na tatizo nao.
Sasa hivi Ali ni shujaa anayeheshimika kutokana na misimamo yake thabiti katika kutetea haki za watu.
Mpaka uwanja wa ndege wa mji alipozaliwa umepewa jina lake!
Louisville Muhammad Ali International Airport (SDF)
Going somewhere? Louisville Muhammad Ali International Airport makes it easy to get to your favorite places. Let's go!www.flylouisville.com
Iran ijitoe kwenye NPT. Na sasa waliunde kikwelikweli hilo bomu la nyuklia na naamini watafanya kweli.
La sivyo wataendelea kunyanyaswa na Israel na Marekani.
Hakuna nchi iliyo na haki pekee ya kuwa na silaha za nyuklia na hakuna nchi isiyo na haki ya kuwa nazo.
Hata Tanzania tuna haki ya kuwa nazo.
Hao walionazo hizo silaha hawakuomba ruhusa yoyote ile kutoka kwa yeyote yule ili kuwa nazo hizo silaha.
I say eff them. Go Iran go.
Hakuna kitu kama hicho.Standard iwe moja. Ama wote hatuna au kama wapo ambao wanazo, basi wote tuna haki ya kuwa nazo.
It’s time to stop the fuckery.
Out of context!Hata Marekani inafadhili kila aina ya uhalifu.
Marekani imewahi kuifadhili Al Qaeda.
Marekani ilifadhili mauaji ya Patrice Lumumba.
Marekani imefadhili na kuunga mkono madikteta lukuki.
Marekani inaifadhili Israel ambayo inafanya mauaji ya kimbari huko Gaza.
Je, Marekani ni sawa ikifadhili yote hayo?
Nani kichaa? You must be projecting….Hakuna kitu kama hicho.
Huwezi kudai eti kwa kuwa fulani ana shoka, basi hata kichaa aruhusiwe kuwa na shoka
Look at this dunderhead 🤣.Out of context!
Bila kuweka udini pembeni huwezi kuelewa hata ukieleweshwa. Ndiyo shida ya kobaz lia lia
Kwa hiyo huyu ndo ana akili timamu za kumrhusu awe na silaha za nyuklia? Stupid bantu reasoning….Iddi Amin angekuwa nazo Leo Tanzania ingekuwa shamba la sumu na hakuna binadamu angekuwa anaishi
()()==》》》Jaribu kupevuka ki fikra japo kidogo..
Ayatollah na genge lake..Nani kichaa? You must be projecting….
Ila huyu aliyewaambia watu wajidunge bleach kuua virus I vya corona ndo genius mwenye akili za kuaminiwa kuwa na bomu la nyuklia?Ayatollah na genge lake..
Angalia watu kama hawa hapa chini, walilipua msikitini wakaua wenzao katika imaan zaidi ya 100 kwa mkupuo mmoja tu..
Waliokufa mashambulizi ya msikitini Pakistan wafikia 100 – DW – 01.02.2023 Waliokufa mashambulizi ya msikitini Pakistan wafikia 100 – DW – 01.02.2023
Kutukana ndo unajua siyo?!Look at this dunderhead 🤣.
Mimi ni kobazi?
Stupid worthless piece of shit.
FOH.
Marekani iliyovamia Iraq kwa sababu za uongo na kuishia kuivuruga nchi ya watu, yenyewe siyo nchi ya hovyo?Sio kila mtoto Kisa anataka simu, inampa Je Ina madhara Gani kwake...
Ubaya Wa Iran limekuwa Taifa la hovyo Sio Kwa middle East pekee yake hata Kwa Dunia mzima
Kila Rais wake anapochaguliwa target number moja nikija wamarekani au Israel (death to Israel) waneenda mbali sana Hadi wakatoa matamko kuwa Taifa la Israel lifutwe kwenye ulimwengu Wa Dunia
Pia, iRan ndio Taifa ambalo Ni mfadhili mkuu Wa magaidi wengi walio Middle East ...mfano , Hezbollah,ISIS, HAMAS,Al quida etc ili kuleta sintofahamu ndani YA middle East Na Dunia kWa ujumla Na Jao magaidi target Yao Ni USA Na Israel (raia wao)
Hata kama Ni wewe ungemwacha Iran aendelee kutamba (kama anafadhili magaidi ...ipo siku atawapa silaha ZA maangamizi kama Nuclear hapo ndio maana Zaidi yataonekana
(Kuna misemo unasema prevention is better than cure) Tibu cancer kabla haijasambaa miwili mzima
Note.. Magaidi hawana serikali useme wanapata mode, just imagine Hela zao zinatoka wapi..Iran apigwe n asiruhusiwe kuwa Na vinu vya Nuclear Ni hatari Kwa usalama Wa dunia
Huna hata uwezo wa kutukana matusi yako mwenyewe hadi unaiga ya kwangu 🤣🤣.Kutukana ndo unajua siyo?!
Unaleta hoja ya kijinga halafu hutaki kuambiwa ukweli?!
Nyang'au wewe!
Halafu wewe ndiyo Stupid worthless piece of shit Og!!!
Huujui ulimwengu wa roho kaa kimya tu.Naunga mkono Iran kuwa na silaha za nyuklia.
Naunga mkono hata Tanzania kuwa nazo.
Namna pekee ya kuheshimiana hapa duniani ni kila nchi ikiwa na silaha za maangamizi makubwa.
Iran ingekuwa nazo hizo silaha za nyuklia, Israel na Marekani zisingethubutu kuishambulia.
Iran haijatenda kosa lolote lile lakini imeshambuliwa na mataifa mawili yenye silaha za nyuklia.
Huo ni uchokozi na uonevu.
Tena hiyo Israel inazo hizo silaha za nyuklia na hakuna anayenyanyuka na kusema kuwa hiyo nchi haipaswi kuwa nazo.
Halafu ni nani huyo ambaye alizipa ruhusa hizo nchi nyingine zenye hizo silaha kuwa nazo?
Nani aliipa Marekani ruhusa ya kuwa na hizo silaha? Na Marekani inatoa wapi mamlaka ya kuamua huyu au yule hapaswi kuwa nazo silaha za nyuklia?
Unafiki wa kiwango cha daraja la kwanza.
Maana kama kuna nchi hapa duniani ambayo haipaswi kabisa kuwa nazo hizo silaha, basi nchi hiyo ni Marekani ikifuatiwa na Israel.
Marekani ndo nchi pekee ambayo imekuwa ikizivamia nchi zingine na kuzilipua bila sababu zozote za msingi.
Wakati mwingine Marekani hutunga hata uongo wa sababu za kuzivamia nchi zingine.
Walijiingiza kwenye vita huko Vietnam. Watu ambao waliipinga hiyo vita ya Vietnam wakati huo, wengine walifungwa jela na wengine walinyanyaswa na kuitwa ni wasaliti.
Mfano Muhammad Ali na Martin Luther King Jr.
Ali alinyang’anywa hadi mkanda wake wa ubingwa wa ndondi na kufungwa jela kwa kukataa kwenda vitani dhidi ya watu ambao hakuwa na tatizo nao.
Sasa hivi Ali ni shujaa anayeheshimika kutokana na misimamo yake thabiti katika kutetea haki za watu.
Mpaka uwanja wa ndege wa mji alipozaliwa umepewa jina lake!
Louisville Muhammad Ali International Airport (SDF)
Going somewhere? Louisville Muhammad Ali International Airport makes it easy to get to your favorite places. Let's go!www.flylouisville.com
Iran ijitoe kwenye NPT. Na sasa waliunde kikwelikweli hilo bomu la nyuklia na naamini watafanya kweli.
La sivyo wataendelea kunyanyaswa na Israel na Marekani.
Hakuna nchi iliyo na haki pekee ya kuwa na silaha za nyuklia na hakuna nchi isiyo na haki ya kuwa nazo.
Hata Tanzania tuna haki ya kuwa nazo.
Hao walionazo hizo silaha hawakuomba ruhusa yoyote ile kutoka kwa yeyote yule ili kuwa nazo hizo silaha.
I say eff them. Go Iran go.
Vyovyote vileKwa ajili ya nini ?
Ayatollah ana absolute and unchecked power,Trump na akili yake ya hovyo kama wewe at least kuna safeguards na system ya kumzuia kufanya unthinkableKwa hiyo huyu ndo ana akili timamu za kumrhusu awe na silaha za nyuklia? Stupid bantu reasoning….
Una hata salio la kuweza kuiangalia hiyo clip wewe?
View: https://youtu.be/PX9reO3QnUA?si=FlNYqawM7z4mtuGS
hako ka apartment with cheap Chinese furnitures ndio unaishi kumbe, probably ni ka section 8
Silaha mbaya sana zileBinafsi sioni haja ya mwanadamu kuwa silaha za maangamizi kama za nuclear kwakweli. Iwe kwa nchi yeyote ile
Chanzo Cha hayo makundi ni nini?Vipi makundi ya wapiganaji kama Hamas, Houth n.k anayofadhili Iran ili kuiangamiza Israel kwako ni sawa?