Kila nchi ina haki ya kuwa na silaha za aina zote

Nchi zote zilizopata mabadiliko makubwa zilipitia njia ngumu ya jasho na damu, Marekani walipigana vita vya ukombozi, civil war na civili rights movemnt kuleta mabadiliko makubwa, Ufaransa walimkata kichwa mfalme katika French revolution kuleta mabadiliko makubwa, Uingereza walipamba kupata Magna Carta na kufuatia na civil wars nyingi kuleta mabadiliko makubwa.
 
Ingekuwa Malawi, Congo inazo sawa tatizo Iran anaongoza kwa ufadhili kwa kuwapa silaha na pesa Wafia DINI kwa lengo la kuharamisha Sheria Haramu na kukuza Uislamu ambayo wengine hatuamini je akiwapa makundi hayo mabomu kama ya nuclear tunaishije hapa Dunian Hilo tatzo
 
Naunga mkono ISRAEL namana sishabikii DINI inayoenezwa kwa upanga mara Mwanamke hatakiwi kusoma mara nini sijui nini sio vyema
 
Waulize wao
Usijali ikitokea Taifa lolote la kiislam linalotengeneza linabidi liangamizwe lakin wakitengeneza WACHINA waachwe namana wao hawana mambo ya kijinga kijinga kufagalia mahadithi ya kimasikin sikin
 
Myahudi alikataa watu wa IAEE kukagua program zake za nyukilia,dunia imejaa unafiki.
Yeye ana kula yake pekee inayomwezesha kujilinda popote alipo mfano inawezekana ukawakuta watalii 50 wa Israel lakin wakiwa na SMG machine ni kitu Cha kawaida Dunian popote
 
Yeye ana kula yake pekee inayomwezesha kujilinda popote alipo mfano inawezekana ukawakuta watalii 50 wa Israel lakin wakiwa na SMG machine ni kitu Cha kawaida Dunian popote
Ndio unafiki wenyewe huo.
Msikilize huyo General wa US ambaye alikuwa ni mkuu wa vikosi vya NATO.

View: https://m.youtube.com/watch?v=Eo6u9DpASp8&pp=ygUpTmF0byBjb21tYW5kZXIgb24gd2FyIHdpdGggc2V2ZW4gY291bnRyeSA%3DSasa pata picha mtu anaiongelea hivi nchi yako, wewe utachukua hatua gani kama sio kujilinda? Maaana hata huyo General wakati anapewa maelekezo hakupewa sababu ya kwa nini watazipiga hizo nchi saba. Hizo silaha ya Nuclear ni kisingizio ambacho hakipo kama ,kile kisingizio cha Weapons of Mass Destruction kwa Iraq, ambapo baadae waligundua Iraq hana hizo silaha.IAEE Director wake ambaye aliyeenda kukagua, kasema Iran hawana mpango wa kutengeneza bomu la Nuclear, bali wanatumia Nuclear energy kama source ya kuzalisha umeme.

Plan ya Muyahudi ni kuirudisha nchi ya ahadi, wakishamalizana na hawa. Phase inayo fuatia ni Turkey, Misri na Saudi,kama hujui nusu ya ardhi ya Saudi wanadai ni yao mpaka ile Macca na Madina.
 
Ngabu umetoa boko.

Usifanye masihara na mgonjwa wa akili wa kidini wewe!
 
Ngabu umetoa boko.

Usifanye masihara na mgonjwa wa akili wa kidini wewe!
Sasa kama ni hivyo mkuu si tungekuwa tunaona mashambulizi ya wazi wazi kutoka Iran kwenda Israel kama ilivyo sasa?
 
Kwahiyo Mandela nae alilipua kanisa?
Hujawahi kusikia church street bombing ya 1983 iliyoua watu 20 na kujeruhi wengine zaidi ya 200 kulikofanyawa na Umkhonto we Sizwe (MK)??
 
Hujawahi kusikia church street bombing ya 1983 iliyoua watu 20 na kujeruhi wengine zaidi ya 200 kulikofanyawa na Umkhonto we Sizwe (MK)??
Kwahiyo ndio sababu ya Mandela kuitwa gaidi?
 
Sasa kama ni hivyo mkuu si tungekuwa tunaona mashambulizi ya wazi wazi kutoka Iran kwenda Israel kama ilivyo sasa?
Alikua anajiandaa kufanya hivyo meanwhile akishambulia indirect kwa kufadhili vikundi vya kigaidi Hamas,Hizbolah et al.
 
Nikiona mtu anasimama upande wa haki na ukweli nafarijika.
Hapa umesimama upande wa kweli.
Kwa bahati mbaya watu wengi wanauchukulia huu mgogoro kwa mlengo wa kidini.
Mimi ni mkristo lakini kwa mgogoro huu nasimama upande wa haki wa ukweli wa Iran.
Upande wa haki ndio upo huo?! Ugaidi wa Iran na vibaraka wake dhidi ya Israel ndio upande wa haki.? Nadhani hujui maana ya neno haki
 
Upande wa haki ndio upo huo?! Ugaidi wa Iran na vibaraka wake dhidi ya Israel ndio upande wa haki.? Nadhani hujui maana ya neno haki
Hii mada kubwa sana.
Hapa tutachafua thread ya watu.
Acha tukubaliane unacho sema wewe upo sahihi.
 
Alikua anajiandaa kufanya hivyo meanwhile akishambulia indirect kwa kufadhili vikundi vya kigaidi Hamas,Hizbolah et al.
Miaka yote hii toka atoe hiyo kauli alikuwa bado anajiandaa tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…