Kila nikikutana na wazee/watu wakiniuliza swali "una mchumba?" Najikuta naumia

Bora umeamua kuwa muwazi na nakuhakikishia kuwa hali hii si kwamba mnapitia nyinyi tu wanawake bali mpaka wanaume. Wengi tupo in early 40's tuna watoto mmoja wawili kanini hatupo ndani ya ndoa. So usijari somebody, the right one is somewhere waiting for the right time, for the right moment for you. Tupo wala usijari
 
😪😪😪😪😪😪😪😪
 
😂😂😂😂😂😂😂
Halafu tukaendelea poa tu.

Mshua kwanza kuulizia tu kama issue tunaweza kuiongelea alionesha anaijua dunia. Hakutaka kujipa manyota tu kwamba kwa sababu yeye Baba basi issue inaongeleka tu.

Halafu kukubali jibu hilo bila hiyana alionesha aliomba ruhusa kweli, si kimaigizo tu😂😂

Ninaposikia hizi hoja nakumbuka sana siku ile.

Natamani wazazi, wazee, ndugu, jamaa, marafiki wote wangekuwa na adabu hivyo.
 
Let me give you a hug sister 🫂.

All is well. Batter late than ever.
 
Asante mkuu
 
Hakika
Ila watu wameakaririr huo mfumo ndio njia impasayo mtu kupitia.
Ifike wakati kama watu wazima tuheshimu tu maamuzi ya mtu.kikubwa ana akili timamu anachopanga yeye Anajua Kwanini.
 
Kila kitu kinaenda kwa PAIR. mwanaume na mwanamke.
Mwanamke na mwanaume.

pambana dada uolewe au uwe na mtu wa uhakika punguza kuchagua chagua sanaa wanaume wenye wa pesa,magari,six packs na maringo acha.
Duniani tunapita tuu ila hakikisha una mwenza wa kukupa amani, furaha na upendo wa kweli.

Wapo ila mna machaguzi mengi sana wanawake
 
Sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…