Kila nikikutana na wazee/watu wakiniuliza swali "una mchumba?" Najikuta naumia

Wewe Kiranga huwa una sifa za kijinga...

Dola million 3 unazijua wewe?

Acha kushika watu upuuzi.

Mbeba mabox
Wewe kapuku masikini huwezi kuelewa.

Hatuwezi kielewana kwa sababu tunatoka dunia tofauti.

Kaangalie bei za nyumba Oysterbay na Masaki.

Kama hata unajua ni wapi huko.
 
Wewe kapuku masikini huwezi kuelewa.

Hatuwezi kielewana kwa sababu tunatoka dunia tofauti.

Kaangalie bei za nyumba Oysterbay na Masaki.

Kama hata unajua ni wapi huko.
Wewe mkulima wa bariadi uliyezamia USA uje uniambie baba yako anamiliki nyumba masaki?

Kawadanganye unaowaweza mpuuzi.

Acha kujipa umuhimu msukuma mshamba
 
Wazazi tunatofautiana Sana, Mimi binti wa Kwanza ana 30, sijawahi kusikia lolote kuhusu mchumba na wala sijawahi kufikiri au kumuuliza kuhusu Hilo.
Ila nashangaa sikufurahi binti yangu wa tatu 23 alivyoolewa sijui kwanini.
Kwahiyo tuko tofauti Hilo lisikukwaze kuna wengine tunaona Sawa tuu.
 


UNAUMIA KWA VITU VYA KIJINGA.

1. MZEE : UNA MCHUMBA?
BINTI : SINA.

2. MZEE : UNA MCHUMBA?
BINT : UNATAKA NIKUPE?

RAHISI TU. AU KAMA UNAYE JIBU NINAYE.
 
Kumbe? My friend utakufa vibaya sana. Achana na mtu asiye kutaka
We msukuma hebu niache aisee 😒
Nimejibu la huyo kaka.kasema kama unaona mambo ni mgumu unafanya Kwa kufosi kingu yanaenda.
Nimemwambia haya mambo ya nahitaji upendo pande zote na utayari nk

Kaomba nimfafanulie
 
Wewe mkulima wa bariadi uliyezamia USA uje uniambie baba yako anamiliki nyumba masaki?

Kawadanganye unaowaweza mpuuzi.

Acha kujipa umuhimu msukuma mshamba
Sawa mkuu.

Wanaonijua wananijua. Na wanatosha.

Nimielezea maisha yangu kwa namna ambayo mimi naona ya kawaida tu, wewe unaweza kuona najigamba kwa tambo.

Kwa sababu wewe ni masikini mshenzi, hatuwezi kueleeana.

Sina muda wa ku prove chochote kwako.

Na nishamaliza kusema nilichotaka kusema.

Sitaki majibizano yasiyoisha na wewe.

Hujafikia kevel ya kujibizana na mimi. Huna viwango.

Nakupeleka ignore list.

Kuanzia hapa sitaona unachoandika.
 
Hahahaha, BP imefikia peak sasa..

Gudubaai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…