Kila nikikutana na wazee/watu wakiniuliza swali "una mchumba?" Najikuta naumia

Kuna wale wanasemaga umenenepa siku hizi maisha umeyapatia ehhh๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ hawa wazuri sana ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ukitaka ikufundishe namna ya kuwajibu niambie
Dah ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„
 
Binti ukifika 30 yrs hujaolewa,kuna 2 kati ya haya.
1.Ni lazima utakuwa na tabia mbaya au za hovyo,hapo ulipo au huko nyuma.Mara nyingi ni umalaya,kiburi,mchafu au muongo
2.Utakuwa unachagua sana,either unataka mwanaume mwenye fedha yaani una tamaa au unachagua mwanaume kutokana na muonekano.

Mwanamke mtiifu,asiyekuwa malaya, kiburi,tamaa,muongo na mchafu na mwenye low expectation hawezi kufika 25 yrs hajaolewa labda awe aba shida za kiafya.
 
Mimi pia Wazee wangu wa Enzi za Mkoloni๐Ÿ˜ƒ.
Wakuache, Muda wako ukifika utawapelekea huyo Mchumba.
Wakiona hujasema chochote wajue tu kuwa Bado, Siyo lazima waulize.
Ukutane na wale wanaopenda harusi kuliko wanaigeria weh๐Ÿ™Œ
 
Nimecheka sana
Eti tunaweza kuongea?
Unajibu "Hapana"๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Watu mmepinda.
Mzee huyo kwenye mambo ambayo hata yeye anajua si yake moja kwa moja anakuwa muelewa kupita kiasi.

Ila sasa, usimuharibie mambo yake ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Hapo kwenye kujivisha mabomu..haa mkuu ๐Ÿ˜„
 
Mbongo mpe picha tu.

Story nzima mpaka part 2 na 3 atakupa yeye.

Yani hapa ujumbe ni kwamba mwanamke anatakiwa awe mtiifu na mwenye low expectation?
 
Asante dearโ™ฅ๏ธ
 
Kuna dada hakuwa na nia ya kuolewa wala kuzaa.

Familia yake (wazazi) wakampa pressure azae hivyo hivyo.

Akaolewa, akazaa. Akaachana na mumewe.

Wazazi wake wamefariki.

Kila siku akigombana na binti yake, anasema mimi hata sikutaka kuzaa, ni wazazi tu wamenipa pressure.

Ni kama alijua akizaa mtoto hatakuwa na uhusiano naye mzuri.

Wazazi wenyewe washajifia, hata hawapo.
 
Mh nimesoma na umenifanya nilitafakari kidogo naona kwa upande mwingine watu tulio nao maishani mwetu tumeshindwa kuwa sehemu ya faraja, hatuna malengo ya moja kwa moja bali tunahitaji kupata kitu fulani basi,
 
Mh nimesoma na umenifanya nilitafakari kidogo naona kwa upande mwingine watu tulio nao maishani mwetu tumeshindwa kuwa sehemu ya faraja, hatuna malengo ya moja kwa moja bali tunahitaji kupata kitu fulani basi,
Faraja unaanza kujipa mwenyewe kwanza.

Na hapo ndipo unapata nuru ya kumvuta mtu mwenye level yako ya faraja mchanganye faraja zenu pamoja mtengeneze synergy ya faraja, the whole being bigger than its part.

Ukipata mtu wako jamii haitakuukiza wewe ndiye utakuwa unawaukiza wao tarehe zioi zinafaa kwa harusi.

Sasa ukikutana na mtu anayekuhitaji wewe um complete, kama yeye mwenyewe hajitoshi, hapo ndipo tatizo linaanza.

Ndio hao mnakuwa nao halafu mkiulizwa ndoa lini, hata wenyewe mnaona mmmh, hapa mbona kama bado niponipo kama MwanaFA, sijafika kituo ninachotaka, napiga misele kutafuta proper parking spot ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Duh! Hatari, pole sana kwa madhila ambayo unayapitia wakati huu lakini siku zote binadamu hatufanani hata kidogo kila mtu ana changamoto zake..pole sana maana ukiangalia age ni lazima tu watakuhukumu ndio binadamu tulivyo inabidi uzoee.
Nimewazoea mkuu
Wanavumilika
Wataongea lakini mwisho wa siku yatabaki kuwa Maisha yangu.kama ninacho ninacho,na kama Sina Sina
Nitaadapt Kila hali
 
Kuwa na miaka 30+ bila mchumba au mtoto si kushindwa maisha. Kila mtu ana safari yake. Ndoa na watoto ni maamuzi binafsi, si kipimo cha mafanikio. Cha msingi ni kufanya maamuzi kwa utashi wako, si kwa presha ya jamii. Maisha si mashindano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ