Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,350
- 27,420
Bwashee mm hata mtu kuniambia kule ninunulie kitochi hathubutu ingawa mm sio mchoyo dizaini tuu nimejiweka mazoea mengi sitakiYeah ukijenga ukuta na mpaka sio rahisi wakuulize wanaishia kusema tu ana dharau
Acheni upimbi. Mwanamke over 30 upo upo tu unataka jamii isikushangae. Yaani mchumba huna, mme huna, mtoto huna.Hugs luv 🫂 🤗
Ila watanzania kuna namna inabidi tupunguze kufuatilia maisha binafsi ya wengine na kuuliza maswali yasiyotuhusu!
Labda mkuu
Jamii zetu zitaadapt kuheshimu hata maamuzi binafsi ya mtu
Kuna watu wanajikuta wanaingia mahali mradi tu ili kukwepa maswali kama hayo toka Kwa wazee wao na jamii zao
Bwashee umeongea jambo la msingi sana,Yeah ukijenga ukuta na mpaka sio rahisi wakuulize wanaishia kusema tu ana dharau
Ni mazoea au vipi mtu akuulize hivi?Kabisa yani
Kila kitu kiwe ndani ya wakati wanaona ni sawa
Ningetaka bwana ningeweka tangazo.sishindwiHili tangazo limekaa kitaalam sana
Wale wengi ni wa kuwasamehe tu.Kusema kweli hawa Wakubwa wetu huwa wanakosea sana.
Kuna Baba mdogo ndio lilikuwa swali lake hilo kila akinipigia simu. 😃
Kuna siku nikamwambia MZEE HILI SUALA NINGEOMBA USIRUDIE TENA KUNIULIZA.
Asante mkuuDuu pole mkuu haupo peke yako
Mtu anaelezea hisia zake unasema tangazo 🤣🤣🤣 Ufalme wa mbinguni utausikia kwenye redio tu MkuuHili tangazo limekaa kitaalam sana
Nadhani umeelewa vibayaMfano hauwezi ukasikia familia ya Lady Jay dee au diamond zinalalamika watoto wao kuoa au kuolewa .
Maana yake ukiwa Masikini Kila MTU anahisi ana mamlaka ya kukupangia namna ya wewe kuishi
Sasa unataka kuwapangia maisha?Acheni upimbi. Mwanamke over 30 upo upo tu unataka jamii isikushangae. Yaani mchumba huna, mme huna, mtoto huna.
Kama kuna shida za kiafya ita-make sense.
Otherwise endeleeni kujifariji na u-feminist huku mkitumika.
Wanaume ndiyo sisi tatizo tukiwafata mnakataaSijui ni mie ama Niko sensitive sana?
Nnapokutana nao katika maongezi nikipigwa Hilo swali najikuta na-blush huku ndani naumia,mchangayiko na aibu na huzuni.Natoa majibu ya hapana bado.wakiendelea najikuta nashindwa hata kujieleza napata kigugumizi.
Shida sio kupata mchumba,shida ni njia zimetofautiana,njia anayopitia mwingine haiwezi kuwa sawa na anayopitia mwingine.Jambo linaweza kuwa rahisi Kwa mwingine lakini upande wa mwingine likawa tofauti.Jamii yetu imeadapt kama ndio njia sahihi impasayo kupitia Kila mtu Kwa wakati fulani,pale utaposhindwa kuipita kwa wakati inageuka maumivu.
Binti uko over 30 huna hata mchumba,huna mtoto wanabaki eeh🙄
Na je ikiwa mtu ataamua Kwa maamuzi yake kubaki hivyo ni kosa?
Kwa upande wa wengine mapungufu yanachangia,ndio tuna mapungufu ya hapa na pale kama changamoto za kiafya,kimwili zinazopelekea kukosa mwenza.Dhahama na magumu utayokuwa unayapitia mwenyewe na Ile hisia unaipata mwenyewe lakini wengine hawawezi kuuhisi huo mzigo unaoupitia,utasikia "jikubali mbona wapo wengi tu wanaingia kwenye ndoa,Wana familia? Wanakushangaa
Shida ni hawajui ni rejection ngapi unapitia,hawahisi mzigo wa maumivu unaobeba.
Hakuna anaependa kukosa kitu,Kila mtu anatamani kukipata on time,lakini kuweka kama utamaduni mtu kuwa na kitu Fulani katika wakati fulani mi naona ni kuumiza hisia na moyo wa mtu Ambae kwake ni ngumu kupatanaa.
Yangu ni hayo Kwa Leo🥹
Sawa mkuu nimekuelewaHuwezi kuvunga kitu ambacho kina kuumiza mpaka kufikia kuanzisha uzi,kusema "Siku inaisha" ni kama kujifariji tu ila tatizo lipo palepale,
Kumbuka haya ni maisha yako,maisha ni mafupi sana,weka mipaka kwenye maisha yako ili usiingilike kirahisi.
point.Mfano hauwezi ukasikia familia ya Lady Jay dee au diamond zinalalamika watoto wao kuoa au kuolewa .
Maana yake ukiwa Masikini Kila MTU anahisi ana mamlaka ya kukupangia namna ya wewe kuishi
Kaka usitete angalia demu wa ARUSHA kadanganya anauza duka kumbe anauza nyapu kafia gesti hio aibu kijijini kwao wataipeleka wapi?Sasa unataka kuwapangia maisha?
Kama mtu kaona ndoa itampotezea muda wa ku focus kutafuta dawa ya cancer, amejitoa maisha yake kutafuta dawa ya cancer, utataka kumpangia asifuate hiyo passion yake, aolewe, kwa sababu wewe ndiyo unavyotaka?
Wewe unayependa watu waoe na kuolewa, mtu akija na kukupiga marufuku usiweze kuoa, utaona sawa?