Kila nikikutana na wazee/watu wakiniuliza swali "una mchumba?" Najikuta naumia

Najibu sina Kwa sasa
Lakini wanaendelea kwanini?
Napata kigugumizi
Yani natibuka hisia
Je, ni kuna Mapito yoyote uliyo wahi kupitia ambayo yanakufanya uwe na kigugumizi? Na ni changamoto ipi?

Binafsi japo wanasema mapenzi hayalazimishwi, ila usipo jikubali wewe kama wewe, usitegemee kupata mtu sahihi katika maisha yako.
 
Kujikubali kupo.je wakukukubali yupo?
 
Kwanza kabisa hizo dini zenu unafiki mtupu.

Kama kwao kuna Uislamu hivyo kusingekuwa na malaya hivyo.

Nimekuuliza kosa la mtu mmoja linakipaje kijiji aibu, hujajibu.

Unasema kila nafsi itaonja mauti, kwa hiyo mimi nikija kukuua wewe sasa hivi ni sawa tu, kwa sababu kila nafsi itaona mauti?

Mtazamo ni nini na uhalisia ni nini?

Nimekwambia hapa kuna matatizo ya kimfumo, si ya mtu mmoja tu, huo ni mtazamo au uhalisia?

Watu wakijiua kwa kusemwa tu ndiyo maana uake nini?

Maneno hata ya kijinga yanaweza kusababisha mtu ajiue, sasa hilo linaondoa ujinga? Tusiseme huu ujinga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…