Kila ninapoweka juhudi za kupungua uzito, ndio naongezeka!

Safi , ila kma ungeacha kula embe na chungwa ukala Avocado na Apple na uongeze brocoli zaidiili upate Viamin C kwa wingi kama uliihitaji Vitami C toka kwa chungwa .Kingine ongez mazoezi ya kutembea tuu na wala si kukimbia, tembea kadakika 45 hata maratatu kwa week .
Natumai mpaka dakika hii ume sha ona mabadiliko fulani, lazima ume pungua, sababu kiu ha kza kitakacho pungua ni maji , hivyo lazima kuna dalili ya kupungua kama uta jiangaai vizuri .
 
Kwa studies zilizopo kwa sasa zina sema breakfast sio mlo muhimu , hivyo una weza mua kuanza kula saa sita au saa tano, baada ya hapo kule tena baada ya masaa nane, kama utataka fanya intermittent fasting , kula mara mbili ni bora zaidi.
Suala nile nini? Wakati wakufungua kunywa hiyo asubuhi?
 
Suala nile nini? Wakati wakufungua kunywa hiyo asubuhi?
Anza kula lunch , achana na breakfast, kama nilivyosea milo miwili kwa siku ni bora kabisa .Ila kam ahuwezi kula miwili , basi fanya kunya a Bulltet proof cofee au Black cofee na mayai na kipande cha Avocado.
 
Ahsante mkuu kwa ushauri ila hiyo balacori kwa kiswahili ni tunda gani hilo?
 
Sidhani kama lina kiswahili, ila jaribu google utaliona , ni mboga nzuri saa
Sawa nimeliona kumbe ndo hilo hapa kwetu zinatumika sana na wahindi, inapikwa kama mboga mboga au sio?
 
muhimu mkuu naamini ni hapo kwenye sukari, achana na chai nyakati za usiku mkuu
 
muhimu mkuu naamini ni hapo kwenye sukari, achana na chai nyakati za usiku mkuu
Chai nao kunywa siwekei sukali ni viungo tu tangawizi na mdarasini
 
kuruka (skipping meals) siyo suluhu ya kupunguza uzito. Inatakiwa ubadili aina ya vitu unavyokula na mtindo wa maisha kwa ujumla. Kama unachoma kalories kwa kazi ngumu kama kutembea au kazi za mikono basi lazima iendane na kula vitu ambavyo havitafanya replacement ya unavyopoteza.
Fikiria kama bomba la maji linatoa maji lita 5000 kwa 1 hour lakini hapo hapo zinaingia lita 5500 je bomba hilo litaishiwa maji? tumia hiyo formula kuuelewa mwili wako.
Ningekuwa daktari wako ningekuita kwa consultation alafu nikufanyie vipimo nikuambie una ukimwi. unapigwa na stress kwa wiki moja tuu lazima ukonde
 

Not sustainable. Tafuta njia sustainable ya kupungua taratibu utayoweza kuidumu for a long time. Naona unataka quick fix.
 
Not sustainable. Tafuta njia sustainable ya kupungua taratibu utayoweza kuidumu for a long time. Naona unataka quick fix.
Siku ya leo nimetimiza mwezi bila kutumia vya kula vya wanga kama ugali wali maharage sukali nk nimepima naona ni mepunguza 8kg tu.....sio haba lengo ni kupunguza mpaka 20kg ili niwe 85kg ila kazi ipo.
 
Sisi wengine ndio tumesimamia ukucha kuzitafuta Hilo kill 80- 90 ila mpaka leo hii bado kimbau mbau tu mambo hayajatiki.
 
Sisi wengine ndio tumesimamia ukucha kuzitafuta Hilo kill 80- 90 ila mpaka leo hii bado kimbau mbau tu mambo hayajatiki.
Yatatiki tu kupata uzito ni rahisi sana kuliko kuutoa, utakapo ridhika na maisha kwa kiasi filani mwili utaachia.
 
Mwezi wa pili uzito umegoma kupungua, baada kupungua kilo nane mwezi wakwanza wakati dieti ni ile ile tatizo ni nini?
 
How
 
More more
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…