Kila ninavyoona wanawake wa sasa hivi walivyo kitabia naona ni bora kubaki bila kuoa

Usisingizie wanawake wote mkuu inawezekana wewe ndio mwenye matatizo. Jichunguze vizuri ulipokwama kisha jirekebishe maisha yasonge. Zipo ndoa imara wanapendana mpaka wanavaliana pichu mkuu.
 
Jaribu kuoa mwanaume utaenjoy sana.

Nashindwa kuelewa kwa dunia ilipo hapa wengi mmeharibikiwa kwanini mwanamke ndio abebe lawama pekeyake? Yaani wanaume mnavyojielezea humu kama malaika vile as if tumezaliwa jana hatuwajui wanaume 😂
 
Bonge la uzi😁😁
 
Ndoa tamu sana jombi kikubwa tafuta size yako
 
Simama kama mwanaume. Unapo owa wewe ndio boss si vinginevyo. Ila kuna mapenzi na kushirikiana katika ndoa.
Haya matatizo yanakuja sababu ya kupeana namba kwenye daladala na mapenzi bandia yanashamiri na mwisho ndoa taabani yenye taabu inaundwa.
Turudi kwa hekima za wahenga, mke na mume CV zao zinatafutwa na kusomwa vizuri kujua mengi kuhusu familia mpaka mchumba mwenyewe
 
Anachokaje kama sio wewe umemfanya achoke ?
 
Mnakosea sehemu moja tu, Hayo ni mabadiliko ( Binadamu yoyote anaweza kubadilika mda wowote kama kuna ambavyo vitampa sababu ya kubadilika ) , Wanawake wengi wanakuja kuzingua, mara nyingi sababu zinatokana na sisi wenyewe wanaume...

Mtu akupende miaka 20 gafla tu anakuja kukutenda tu bila sababu ??? Sababu za kufanya hivyo ni wewe man, tatizo sisi tunapuuza sanaa hizi sababu yani kuna mambo tunachukulia simple mpaka yakufike na lawama zote unampa aliekutenda wakati sababu ni wewe
 
Toka enzi na karne, mwanaume ni mfalme mkuu, au umesahau? Jitahidini kutupetipeti, huwa hatukosei😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…