Kila ninavyoona wanawake wa sasa hivi walivyo kitabia naona ni bora kubaki bila kuoa

Swali,Umezaliwa ndani ya ndoa au? Au na wewe umelelewa na mzazi mmoja? Maana Kwa utafiti mdogo watu wenye mitazamo hasi kuhusu ndoa hawajalelewa ndani ya ndoa ila asilimia kubwa waliolelewa ndani ya ndoa wanaheshimu ndoa.
 
Sawa na wewe tumekuunga mkuu
 
SWALI: Maana yake ni nini Bwana anaposema (Mathayo 19) “Maana wako 1.MATOWASHI-waliozaliwa hali hiyo toka MATUMBONI MWA MAMA ZAO; Tena wako

2.MATOWASHI-waliofanywa na WATU kuwa matowashi; tena wako 3.MATOWASHI-WALIOJIFANYA KUWA MATOWASHI KWAAJILI YA UFALME WA MBINGUNI.Awezaye kulipokea neno hili,na alipokee”.
Matowashi ni watu waliojitoa wakfu kwa Mungu, wasiojihusisha na mambo ya wanawake,(yaani kuwa na mke au watoto), mfano wa matowashi katika biblia ni Bwana wetu Yesu, Mtume Paulo,Barnaba, Yohana mbatizaji na Eliya Mtishbi.
 
kushindwa kumsimamia mwanamke ni udhaifu ambao unakutambulisha kuwa wewe ni mtu wa hovyo
ndo maana baadhi ya vyeo vinahitaji mtu aliye oa
Kama unashindwa kusimamia mtu mmoja utawezaje kusimamia kampuni au nchi
Omba tukupe mbinu lakini siyo kutuambia ujingaujinga
 
Unajua maana ya mapenzi uchizi lakini? Yaani mpenzi wako anakuwa chizi kwa mpenzi wake mwingine tofauti na wewe.

Sasa mkuu,unawezaje kuwa mwaminifu kwa mtu wa aina hyo?
 
Ina maana mtu akiweza kumsimamia mtu mmoja ndio ataweza kusimamia nchi nzima na si kinyume chake 🤔
 
Jaribu kuoa mwanaume utaenjoy sana.

Nashindwa kuelewa kwa dunia ilipo hapa wengi mmeharibikiwa kwanini mwanamke ndio abebe lawama pekeyake? Yaani wanaume mnavyojielezea humu kama malaika vile as if tumezaliwa jana hatuwajui wanaume 😂
Ujue kitu kinacho waumaga sana wana ni zile ghrama za kumtunza mwanamke, sometimes unajinyima ili kumtimizia mahitaji yake muhimu. Halafu kuna mpuuzi mmoja yy anakula bila kutoa mbuni.

Nishashuhudia jamaa wawili,wake zao wakitembea na wahuni tu wa kitaa na mida ya mchana hawa wanawake walikuwa wanawapeleka msosi kwenye hotpot.Acha tu ,huyu mmoja alikuwa mwanetu, wana wakamchana live ,ndipo akaona aibu akaachana na yule mwanamke.

Ila nyie dada zangu kwenye mahusiano mnachoofa wengi wenu ni kipochi manyoya.

Nina mwanangu demu alimwacha na sio kwamba jamaa alikuwa haudumii ana hudumia,ila demu akapata meneja wa bank kipindi akiwa internship,mwana demu katoka nae advance,acha kabisa yaani mwana alikonda kutoka size ya Msechu mpaka kufikia size ya wabogojo, kitambi chote kilipotea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…