MJERUMANI
1. Reli ya Kati
2. Ikulu ya Dar Es Salaam
3. Bandari
Sasa wewe hapa umechangia kitu gani, kama siyo mada za kichokonozi tu?Kichwa cha habari kimeeleweka.
Kwa faida ya wengi, waliokuwepo na wasiokuwepo awamu zilizopita. kila mmoja wetu ana mtazamo wake tofauti na wa mwengine, tujadili mafanikio na madudu ya awamu zilizopita.
Binafsi nashukuru, nimeziishi awamu kadhaa za Tanganyika kuanzia tupo utawala wa Muingereza chini ya Umoja wa Mataifa.
Naikumbuka Tanganyika ya Muingereza kwa mbali, naikumbuka Tanganyika ya utawala wa Nyerere kwa ukaribu zaidi.
Kwa kuwa viongozi waliotuongoza ni wanaadam kama sisi, hawakosi mema yao na mapungufu yao, tuyajadili waliotuwachia.
Hata kama hukuwepo na umeyasoma au umehadithiwa tu, rukhsa kuyaleta ili tuchekeche na tuchambuwe mchele, chenga na chuya.
Bila kufahamu wapi tulipotoka na wapi tupo itakuwa vigumu kuelewa wapi tunaelekea.
Tujadili.
Wameicha nchi inaitwa Tanzania. Pamoja na mapungufu yao, ujuaji wa baadhi yao, usomi na hekima iliyopindukiwa ya wengine, lakini hakuna hata mmoja aliyetugawa kama vipande vya shekeli.Kichwa cha habari kimeeleweka.
Kwa faida ya wengi, waliokuwepo na wasiokuwepo awamu zilizopita. kila mmoja wetu ana mtazamo wake tofauti na wa mwengine, tujadili mafanikio na madudu ya awamu zilizopita.
Binafsi nashukuru, nimeziishi awamu kadhaa za Tanganyika kuanzia tupo utawala wa Muingereza chini ya Umoja wa Mataifa.
Naikumbuka Tanganyika ya Muingereza kwa mbali, naikumbuka Tanganyika ya utawala wa Nyerere kwa ukaribu zaidi.
Kwa kuwa viongozi waliotuongoza ni wanaadam kama sisi, hawakosi mema yao na mapungufu yao, tuyajadili waliotuwachia.
Hata kama hukuwepo na umeyasoma au umehadithiwa tu, rukhsa kuyaleta ili tuchekeche na tuchambuwe mchele, chenga na chuya.
Bila kufahamu wapi tulipotoka na wapi tupo itakuwa vigumu kuelewa wapi tunaelekea.
Tujadili.
Ni kweli walimiki wa Ikulu walikuwa waislamu? Na wamiliki wa bandari je? Kuna watu kichwani kumeota matango😂😂😂😂😂Mjerumani nakubali alituwachia reli ya kati ambayo mpaka leo ipo.
Bandari na Ikulu alizikuta, hakuziwacha yeye.
Ikulu ndipo lilipoanzia jina Dar Es Salaam. Tazama uzi huu:
Rais Magufuli, ni wakati muafaka "Ikulu" irudishwe kwa wenyewe, Waislam
Mheshimiwa Rais Magufuli, Asalaam Alaikum (Salama na Amani iwe juu yako). Tunafahamu kuwa wewe ni Rais wa wanyonge na ni mpenda haki usiyependa yeyote adhulumiwe. Sisi Waislam, mkoloni Mjerumani alitudhulumu majengo yetu mengi hapo jijini Dar Es Salaam, jina ambalo limetokana na jengo ambalo...www.jamiiforums.com
😂😂😂😂😂😂😂😂😂..hata bwawa la Nyerere, Ikulu ya Chamwino na ndege za ATCL alituachia yeye piaNijuavyo, miundo mbinu alituwachia Kikwete, hakuna awamu iliyojikita kwenye miundombinu zaidi ya awamu ya Kikwete.
Magufuli aliikuta miradi yote, nijuavyo miundombinu ya barabara za mwendazake ni ile ya moroccco - Mwenge, au kuna nyingine?
It does make sense...kuangalia kitu kwa mapana yake, na sio kwa dini aliyotokaNyerere==aliacha kila kitu kikiwa intact, alipambana na umaskini na hakuumaliza
Mwinyi===aliacha kila kitu kikiwa intact, alipambana na umaskini na hakuumaliza
Mkapa===aliuza kila kitu zikiwemo rasilimali; alitujengea uwanja wa mpira
Kikwete===alipambana na umaskini na hakuumaliza, alituachia vyuo vikuu vipya zaidi ya 40 na shule nyingi mpya za Sekondari za nyongeza
...................
etc
Kumbe unaongelea DAR tu au wewe hujawahi kutoka nje ya Daslam! nenda Tabora-Mpanda ukaangalie mkeka uleNijuavyo, miundo mbinu alituwachia Kikwete, hakuna awamu iliyojikita kwenye miundombinu zaidi ya awamu ya Kikwete.
Magufuli aliikuta miradi yote, nijuavyo miundombinu ya barabara za mwendazake ni ile ya moroccco - Mwenge, au kuna nyingine?
😂😂😂😂😂😂😂. Ni kuvurugwa tu. Mtu mwema anaweza kugeuka mganga wa kienyeji au Pastor fake wa kanisaSikudhania kama Faiza ni mtu mwenye umri mkubwa kiasi hiko, baadhi ya maudhui yako hapa jukwaani yanakuweka kiwango Cha kijana mwenye upeo mdogo lakini kumbe ni kinyume chake.
Bandari zote za Mashariki ya Afrika zilikuwa za wenye wa Mashariki ya Afrika, walikuja Waarabu wakaendeleza, waalikuja Waajemi wakaendeleza, Walikj aWareno, Wajerumani, Waingereza, wamezikuta, wamefanya waliyofanya wakaziwacha kama walivyozikuta.Ni kweli walimiki wa Ikulu walikuwa waislamu? Na wamiliki wa bandari je? Kuna watu kichwani kumeota matango😂😂😂😂😂
Hapana. Dola 1 ilikuwa sh 5. Na ilikaa hivyo mpaka mwishoni mwa miaka ya 1970.Umasikini,madeni,na ongezeko la deni la taifa.
Kumbuka wakati wa Uhuru Dola moja ilikua sawa na sh 6 Leo ni 2500.Jibu unalo
Baada ya vita vya Uganda na azmio haramu la Arusha ndivyo dola ikaanza pandaHapana. Dola 1 ilikuwa sh 5. Na ilikaa hivyo mpaka mwishoni mwa miaka ya 1970.
Huyu wa kwetu anatuachia dolla ikiwa imefiK 5000Kichwa cha habari kimeeleweka.
Kwa faida ya wengi, waliokuwepo na wasiokuwepo awamu zilizopita. kila mmoja wetu ana mtazamo wake tofauti na wa mwengine, tujadili mafanikio na madudu ya awamu zilizopita.
Binafsi nashukuru, nimeziishi awamu kadhaa za Tanganyika kuanzia tupo utawala wa Muingereza chini ya Umoja wa Mataifa.
Naikumbuka Tanganyika ya Muingereza kwa mbali, naikumbuka Tanganyika ya utawala wa Nyerere kwa ukaribu zaidi.
Kwa kuwa viongozi waliotuongoza ni wanaadam kama sisi, hawakosi mema yao na mapungufu yao, tuyajadili waliotuwachia.
Hata kama hukuwepo na umeyasoma au umehadithiwa tu, rukhsa kuyaleta ili tuchekeche na tuchambuwe mchele, chenga na chuya.
Bila kufahamu wapi tulipotoka na wapi tupo itakuwa vigumu kuelewa wapi tunaelekea.
Tujadili.
Hatuongelei waliopo.Huyu wa kwetu anatuachia dolla ikiwa imefiK 5000
Zote tu..Awamu ipi unaongelea?