Kila siku nasema Lissu anawategemea watu wasionekana wala kumuunga mkono wanamjaza upepo upendo zero

Kazungukwa na watoto wanaomjaza kings Kama akina Tindo Lord denning OKW BOBAN SUNZU Chakaza imhotep Salary Slip et al
 
Mjinga, kama ni hivyo Lisu hapendwi hakubaliki. Mabomu ya nini? Acheni kuhangaika na lissu wajing nyie



 
Lisu ni mtu wa kufanya vitu vya muda mfupi haswa vya kukomoa,ndio maana alipoambiwa aponye majeraha ya uchaguzi akaendelea kivyake maana anajua ameshawakomesha wapinzani wake.Sasa ndio wameanza kumnanga,na polisi nao mmmh!!.Yeye anazungumza kuzuia uchaguzi baada ya hapo haelezi kitakachoendelea ndio maana hata wananchi wanamwacha maana haieleweki baada ya hapo kinachoendelea na Chama kitakuwaje.Sioni vibaya kusema amekuja kuiua Chadema
 
Kuna ID ukiziagalia tu unajua humu ni empty set.
 
lissu mshamba sana anapenda vitu visivyowezekana unazuia uchaguzi we ni nani hapa tanzania ? yaani ni pimbi sana huyu jamaa
Ila wanaoiba pesa za kodi! Kuhujumu miradi ya wananchi,kutafuna fedha za mashirika ya umma,kusafiri safari za nje zisizokuwa na tija,wanaoteka,kutesa,na kuua raia hao wote ni wanjanja na wenye akili.
 
Wacha wamtie adhabu kwanza ndio wamuachilie! Eti Ole Sosopi anawaambia Polisi kwamba mkimkamata hapa wananchi watakasirika na kuleta vurugu? Nikashangaa na kujiuliza kama Ole Sosopi ni Mtanzania au Mchina!?
Sosopi nilimtangulia madarasa mawili. Ni mmasai typical wale wa kuvaa mashuka. Almanusra apige sifuri form 4. Nikashangaa kuja kumwona ni mwanasiasa mkubwa huko CHADEMA. Nadhani Sosopi ni mfano mzuri wa kuwa kufeli mtihani sio kufeli maisha. Pia wazazi/walezi wawasaidie watoto kwenye vipaji vyao. Sio lazima wote tuwe madaktari au wahandisi.
 
Maono ya kinabii!
 
Mjinga, kama ni hivyo Lisu hapendwi hakubaliki. Mabomu ya nini? Acheni kuhangaika na lissu wajing nyie
Mjinga ni yule anayeandika kutumia simu bila kuwa mstari wa mbele kumsaidia lissu tena ujinga wake ulivyo mwingi mpaka una mwagika atajibu!
 
Kizazi Cha kuanda

Kizazi cha kuandamana,kuzuia uchaguzi bila kufuata Sheria Bado hakijazaliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…