Kila siku nasema Lissu anawategemea watu wasionekana wala kumuunga mkono wanamjaza upepo upendo zero

Ulitaka uone mahabusu wamejaa magerezani kwa ajili ya kumpigania lissu, au uone mpambano wa wananchi na vyombo vya dola? Watanzania hawako hivyo, ukiwadhulumu wana namna yao ya ku deal na wewe bila tafrani na kasheshe, hutajua waziwazi. watu wako na lissu silence hawaonekani
 
Wakuu hv unaweza fanyaje nisione posts za uharo hizi?!
 
Wakuu hv unaweza fanyaje nisione posts za uharo hizi?!
Kutokuona post ni kwenda pale kituoni na kukinukisha ila ukibaki hapa kutumia vidole kama bamia utaendelea kuziona mageuzi ya kweli hayataki watu waoga!
 
Watanzania sio wajinga.
Ulitaka wawazuie polisi kumkamata?.
Lissu anakubalika sana lakini sisi Watanzania hatupendi vurugu na polisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…