Tila-lila2
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 652
- 1,058
Uamuzi huo ndiyo utakuwa mwanzo wa kuufanya upinzani kushinda Uchaguzi wa Mwaka huu. Kaijage shime shime kazana Jaji wangu - hakikisha Tundu Lisu hapiti.
Kamanda Sirro nilikuelewa ulivyosema kuwa utampatia Tundu Lissu ulinzi kana kwamba una uhakika atateuliwa. Kama ndivyo big up kwako! Lakini ulichosema ni tofauti na wenzio na hasa Tume ya Uchaguzi ya CCM - wao wanatafuta dosari za kumchomoa Tundu Lissu.
Inaelekea watafanikiwa na ikiwa hivyo Sirro pls jiandae vizuri kutusaidia kutulinda kwa amani sisi ambao hatutakubaliana na kile Tume hiyo inachokusudia kukifanya. Tutakupenda na utaacha historia nzuri sana sana!
Ninakuaminia Kamanda Sirro! Tena huwa hutufokei kam yule Morotto wa Dodoma!
Tila Lila
Idukilo - Kishapu - Shinyanga - Kwetu