Uchaguzi 2020 Kila siku ninamwomba Mwenyezi Mungu Tume ya Uchaguzi ya CCM isimteue Tundu Lissu!

Unaelewa maana na hatuna ya maandamano? Haya yametokea Lebanon Jana.
Beirut explosion: Lebanon PM announces resignation of country's government
Serikali ya Lebanon imekubaliana na matakwa ya nguvu ya umma
 
Uamuzi huo ndiyo utakuwa mwanzo wa kuufanya upinzani kushinda Uchaguzi wa Mwaka huu. Kaijage shime shime kazana Jaji wangu - hakikisha Tundu Lisu hapiti.

Kamanda Sirro nilikuelewa ulivyosema kuwa utampatia Tundu Lissu ulinzi kana kwamba una uhakika atateuliwa. Kama ndivyo big up kwako! Lakini ulichosema ni tofauti na wenzio na hasa Tume ya Uchaguzi ya CCM - wao wanatafuta dosari za kumchomoa Tundu Lissu.

Inaelekea watafanikiwa na ikiwa hivyo Sirro pls jiandae vizuri kutusaidia kutulinda kwa amani sisi ambao hatutakubaliana na kile Tume hiyo inachokusudia kukifanya. Tutakupenda na utaacha historia nzuri sana sana!

Ninakuaminia Kamanda Sirro! Tena huwa hutufokei kam yule Morotto wa Dodoma!

Tila Lila
Idukilo - Kishapu - Shinyanga - Kwetu
Akiondolewa TL ni kwa mujibu wa Sheria zetu wenyewe tulizojiwekea! Jaji akiona TL Ana makandokando mengi Kama nionavyo Mimi ni vizuri akamchinjilia baharini! Hatuhitaji ku'drag' the whole issue for too long, otherwise, amwache akaambulie 1% yako na kuendelea na mental clinic yake!
 
Paka ni mdogo, lkn ukimbana Sana kwenye Kona anageuka duma... Hicho ndo wanataka kufanya hawa wakoloni weusi🙄
 
Daahh hii inaitwa hakuna pakushika. Wakimkata hatari wakimwacha agombre hatari. Hakuna penye unafuu.

Hakuna kosa kubwa litakalofanywa na Kaijage na wenzie kama kufuata maagizo ya JIWE ya kumkata LISSU; it will be a cardinal sin!! Afadhali mumuache halafu mkamuibie kura kwa kutumia askari wenu ,vita hiyo itakuwa na afueni!!

Sio Siri kuwa JIWE ni muoga wa ushindani maishani mwake hiyo aliionesha toka akiwa mbunge kwa kuwahonga wapinzani wake na hata kwenye kugombea Urais ndani ya ccm; kwa kumfanyia fitina Membe na sasa kwenye uchaguzi mkuu kuagiza wapinzani wanaomzidi kete waenguliwe na tume!!
 
wakimkata na nyie mkaandamana kwa amani, bila fujo, bila wizi, bila matusi, bile kelele, bila kuleta usumbufu wa Aina yoyote ile nafikiri atawalinda mpaka mwisho wa maandamano yenu.

Ila ikitokea mkafanya kimoja Kati ya hayo niliyotaja hatasita kuamuru mvunjwe hayo matako yenu.

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Sidhani Kama Wana uwezo wa kuelewa ulichowaambia! Maana sijui wanawaza kwa kuitumia Nini sijui! Au makalio eeh! Sasa kamanda Siro akiwavunja makalio itakuwaje masikini Hawa...watawaza kwa kuitumia Nini Tena🙆!
 
Huu ni ushauri wa bure kwa CDM, Membe ni jasusi mwerevu ila sio kama anavyopambwa (Tanzania people can ascend to power not necessary because of their ability and skills with exception to Army officers).

But you can’t underestimate Membe and his associates ability to make calculated moves.

Team Membe wanajua ujio wa Lissu ni tatizo kwao na amekatisha ndoto zao kabla ya ata uchaguzi wenyewe kwa sababu Lissu ni more credible opposition candidate.

Kwa sasa Lissu nae bado ni mtu mwenye kinyongo bado ajakitema chote. Hivyo basi ili kurudisha matumaini yao team Membe karata yao ya mwisho ni kumchochea Lissu akiuke taratibu za sheria, atafute ugomvi na mamlaka jamaa wakishindwa kumvumilia wanajua wafuasi wa CDM ni watu wakusapoti makosa ya viongozi wao na kuamishia lawama serikalini (hili la kusema watapambana na vyombo vya ulinzi ni ndoto za Ali Nacha).

The hope ni kwamba kukatwa kwa Lissu ndio njia pekee ya Membe walau kuwa mgombea wa upinzani aliebaki hata ivyo kushinda uchaguzi bado kwake itabaki ngumu sana.

Watch this space
 
Uamuzi huo ndiyo utakuwa mwanzo wa kuufanya upinzani kushinda Uchaguzi wa Mwaka huu. Kaijage shime shime kazana Jaji wangu - hakikisha Tundu Lisu hapiti.

Kamanda Sirro nilikuelewa ulivyosema kuwa utampatia Tundu Lissu ulinzi kana kwamba una uhakika atateuliwa. Kama ndivyo big up kwako! Lakini ulichosema ni tofauti na wenzio na hasa Tume ya Uchaguzi ya CCM - wao wanatafuta dosari za kumchomoa Tundu Lissu.

Inaelekea watafanikiwa na ikiwa hivyo Sirro pls jiandae vizuri kutusaidia kutulinda kwa amani sisi ambao hatutakubaliana na kile Tume hiyo inachokusudia kukifanya. Tutakupenda na utaacha historia nzuri sana sana!

Ninakuaminia Kamanda Sirro! Tena huwa hutufokei kam yule Morotto wa Dodoma!

Tila Lila
Idukilo - Kishapu - Shinyanga - Kwetu
Tundu Lisu anaogopwa sana
 
Hakuna kosa kubwa litakalofanywa na Kaijage na wenzie kama kufuata maagizo ya JIWE ya kumkata LISSU; it will be a cardinal sin!! Afadhali mumuache half mkamuibie kura kwanza kutumia askari went vita hilo itakuwa Dogo!!
Waliona wamewin kukata majina ya wagombea nafasi za wenyeviti wa mitaa na watu wakakaa kimya wasijaribu kwa nafasi ya urais
Watu wengi washakataa tamaa na uonevu unaofanyika. Wapo watakaojitoa kwaajiri ya wengine, Mungu isaidie Tanzania
 
Huu ni ushauri wa bure kwa CDM, Membe ni jasusi mwerevu ila sio kama anavyopambwa (Tanzania people can ascend to power not necessary because of their ability and skills with exception to Army officers).

But you can’t underestimate Membe and his associates ability to make calculated moves.

Team Membe wanajua ujio wa Lissu ni tatizo kwao na amekatisha ndoto zao kabla ya ata uchaguzi wenyewe kwa sababu Lissu ni more credible opposition candidate.

Kwa sasa Lissu nae bado ni mtu mwenye kinyongo bado ajakitema chote. Hivyo basi ili kurudisha matumaini yao team Membe karata yao ya mwisho ni kumchochea Lissu akiuke taratibu za sheria, atafute ugomvi na mamlaka jamaa wakishindwa kumvumilia wanajua wafuasi wa CDM ni watu wakusapoti makosa ya viongozi wao na kuamishia lawama serikalini (hili la kusema watapambana na vyombo vya ulinzi ni ndoto za Ali Nacha).

The hope ni kwamba kukatwa kwa Lissu ndio njia pekee ya Membe walau kuwa mgombea wa upinzani aliebaki hata ivyo kushinda uchaguzi bado kwake itabaki ngumu sana.

Watch this space
It makes a lot of sense.
Ila mkuu hapa tunaongelea ikitokea akakatwa jina siku ya kuteuliwa bila sababu na watu wakajiridhisha kabisaa kwamb amekatwa kwa hofu Fulani. Wadhani hali itakuwaje mkuu?
 
Kabisa kaka! Ila inakaribia kujengwa - come 2025 tutatembea juu ya lami na baiskeli zetu!
Kishapu ni karibu na Bariadi. Jana niliona huko Azam TV watu wa huko wanalalia magodoro ya maranda ya mbao na mifuko ya cement. Tena linauzwa 5000. Eti mzee huo ni utamaduni au umasikini wa kutupwa?
 
Wala sio umaskini - ni raha sana kulalia maranda ya mbao kaka! Kikubwa uangalie tu yasikuchane! Ndiyo maana hatupati magonjwa yanayohusiana na life style - wanaokufa kwa magonjwa hayo wanakuwa wamekuja kuzikwa tu kutoka Darisalama!
 
It makes a lot of sense.
Ila mkuu hapa tunaongelea ikitokea akakatwa jina siku ya kuteuliwa bila sababu na watu wakajiridhisha kabisaa kwamb amekatwa kwa hofu Fulani. Wadhani hali itakuwaje mkuu?
Bora umeniulizia kwa hilo. Atujibu tu! Halfu kwani CHADEMA wakiamua kumsuport Lisu nalo ni kosa?
 
Si kosa mkuu
Halafu wakumbuke kuwa Mwaka 2015 - wafuasi wa Lowasa ndiyo waliomkomoa Membe kwa kuhamia kwa Magu. Ndivyo Tume ya Uchaguzi hii ya CCM itavyosadia kuwahamisha wafuasi wa CHADEMA na baadhi wa CCM yenyewe kumpigia kura kibao Membe. Mchambuzi huyo akumbuke kufanya uchambuzi katika scenarios zote! Between the two evils choose the lesser one!
 
It makes a lot of sense.
Ila mkuu hapa tunaongelea ikitokea akakatwa jina siku ya kuteuliwa bila sababu na watu wakajiridhisha kabisaa kwamb amekatwa kwa hofu Fulani. Wadhani hali itakuwaje mkuu?
Hakuna mtu mwenye mpango wa kumkata Lissu. Kama ulikisikiliza ushauri aliopewa siku anachukua form kuanzia tarehe 22 August dirisha la NEC litakuwa wazi.

Na wameelezwa wana siku tatu zimetengwa kupeleka form zao kuangaliwa kama kuna makosa ya ujazaji watajulishwa ni wapi wakarekebishe warudishe. NEC aina mpango wa kumzuia mtu (its up to CDM kama wataitumia hiyo fursa).

Hila Lissu anawachokoza na hiyo mikutano yake na IGP jana ameliongelea hilo swala kwa sasa ni busara tu inawaongoza. Mbona hakina Bashiru wameacha ziara zao si wanajua sasa hivi wakifanya ivyo itaonekana ni campaign kabla ya muda.

Ni Lissu ndio anawapa mtihani NEC na vyombo vya ulinzi akichochewa na wafuasi wa CDM pamoja na team Membe. Hila NEC awana shida na Lissu; CCM safari hii ukiwasikiliza ata kama awachukulii uchaguzi poa ila wanajiamini.

Likitokea la lakutokea tatizo ni Lissu mwenyewe analitengeneza kwa kutotii na kila mtu anaona anachofanya kwa sasa anavumiliwa tu.
 
Mfanyakazi wa NEC nini? Kwa hiyo kulakiwa kwa Lissu kijijini kwao mnaona ni kama anawachokoza NEC? Je Magu kula mhindi mbele ya kadmnasi huku akitamka maneno "Kutanuliwa" akionesha na kwa ishara sio uchokozi kwa NEC?
 
Lengo ilikuwa ni kuwaonyesha maslahi yako yapo na Membe sio Lissu kwake unachochea tu aendelee kuvunja sheria kwa sababu umeshajua uvumilivu wa polisi upo ukingoni.

Laters
 
Hakuna mtu mwenye mpango wa kumkata Lissu. Kama ulikisikiliza ushauri aliopewa siku anachukua form kuanzia tarehe 22 August dirisha la NEC litakuwa wazi.

Na wameelezwa wana siku tatu zimetengwa kupeleka form zao kuangaliwa kama kuna makosa ya ujazaji watajulishwa ni wapi wakarekebishe warudishe. NEC aina mpango wa kumzuia mtu (its up to CDM kama wataitumia hiyo fursa).

Hila Lissu anawachokoza na hiyo mikutano yake na IGP jana ameliongelea hilo swala kwa sasa ni busara tu inawaongoza. Mbona hakina Bashiru wameacha ziara zao si wanajua sasa hivi wakifanya ivyo itaonekana ni campaign kabla ya muda.

Ni Lissu ndio anawapa mtihani NEC na vyombo vya ulinzi akichochewa na wafuasi wa CDM pamoja na team Membe. Hila NEC awana shida na Lissu; CCM safari hii ukiwasikiliza ata kama awachukulii uchaguzi poa ila wanajiamini.

Likitokea la lakutokea tatizo ni Lissu mwenyewe analitengeneza kwa kutotii na kila mtu anaona anachofanya kwa sasa anavumiliwa tu.
Binafsi nimekuelewa mkuu, so issue ni kwa Lissu na team yake kujipanga kwa kufuata utaratibu ambao NEC wameupanga.
Naimani kama ulichosema kipo sahihi wahusika wataona ushauri huu na kuufanyia kazi. Sisi watanzania tunapenda amani na hatutaki kujaribiwa kipindi hiki.
 
Unaelewa maana na hatima ya maandamano? Haya yametokea Lebanon Jana.
Beirut explosion: Lebanon PM announces resignation of country's government
naelewa ndugu yangu. wale wameandamana kwa sababu za msingi mno na imetokea ghafla.

Hawa wa kwetu wanaandamania Nini,? kwanza wanajulikana Nia na malemgo Yao kisiasa Ni kuifukuza ccm kwa hiyo sababu zote kwao wanapata mzuka wa kuandamana hata Kama sio za msingi.

halafu wezi, Wana majungu, Wana matusi n.k.
 
Back
Top Bottom