Uchaguzi 2020 Kila siku ninamwomba Mwenyezi Mungu Tume ya Uchaguzi ya CCM isimteue Tundu Lissu!

Uchaguzi 2020 Kila siku ninamwomba Mwenyezi Mungu Tume ya Uchaguzi ya CCM isimteue Tundu Lissu!

naelewa ndugu yangu. wale wameandamana kwa sababu za msingi mno na imetokea ghafla.

Hawa wa kwetu wanaandamania Nini,? kwanza wanajulikana Nia na malemgo Yao kisiasa Ni kuifukuza ccm kwa hiyo sababu zote kwao wanapata mzuka wa kuandamana hata Kama sio za msingi.

halafu wezi, Wana majungu, Wana matusi n.k.
Midhali tulikubali kuwa na vyama vya upinzani kwanini havipewi a fair game kwenye uchaguzi?
 
Back
Top Bottom