Uchaguzi 2020 Kila siku ninamwomba Mwenyezi Mungu Tume ya Uchaguzi ya CCM isimteue Tundu Lissu!

Tila-lila2

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2019
Posts
652
Reaction score
1,058
Uamuzi huo ndiyo utakuwa mwanzo wa kuufanya upinzani kushinda Uchaguzi wa Mwaka huu. Kaijage shime shime kazana Jaji wangu - hakikisha Tundu Lisu hapiti.

Kamanda Sirro nilikuelewa ulivyosema kuwa utampatia Tundu Lissu ulinzi kana kwamba una uhakika atateuliwa. Kama ndivyo big up kwako! Lakini ulichosema ni tofauti na wenzio na hasa Tume ya Uchaguzi ya CCM - wao wanatafuta dosari za kumchomoa Tundu Lissu.

Inaelekea watafanikiwa na ikiwa hivyo Sirro pls jiandae vizuri kutusaidia kutulinda kwa amani sisi ambao hatutakubaliana na kile Tume hiyo inachokusudia kukifanya. Tutakupenda na utaacha historia nzuri sana sana!

Ninakuaminia Kamanda Sirro! Tena huwa hutufokei kam yule Morotto wa Dodoma!

Tila Lila
Idukilo - Kishapu - Shinyanga - Kwetu
 
Wakimkata na nyie mkaandamana kwa amani, bila fujo, bila wizi, bila matusi, bile kelele, bila kuleta usumbufu wa Aina yoyote ile nafikiri atawalinda mpaka mwisho wa maandamano yenu.

Ila ikitokea mkafanya kimoja Kati ya hayo niliyotaja hatasita kuamuru mvunjwe hayo matako yenu.
 
Ndiyo maana tunamwomba Sirro atulinde, tutafanya kwa amani tu!
 
Daahh hii inaitwa hakuna pakushika. Wakimkata hatari wakimwacha agombre hatari. Hakuna penye unafuu.
 
Huna lolote mbwembwe tu hizo na vitisho,
Mmeshapewa tahadhali na hii ni maravya pili, mnapewa,
Tatizo ni uongozi wa chadema kutojua sheria, na hasa mnapotumia utundu wa Tundu lisu kuwa ndo ujanja wa sheria, lakini watu wenye taaruma huko wamekaa pembeni tu wakiwaangalia.
 
watakuwa na sababu gani ya kutokumpitisha safari hii ccm wataingia choo cha watoto
 
"Taaruma" what do you mean sister?
 
Unataka kusema CCM na Magufuli wao,pamoja na kufanya kampeni pekee yao for five years,pamoja na kutudanganya for five years kwamba wamefanya Mambo makubwa,pamoja Magufuli kugawa maburungutu ya pesa mabarabarani bado tu hawajiamini wanataka serikali iwasaidie,wanataka makada wao waliojificha kwenye vyombo vya serikali wawasaidie? Shame on them
 
Mkuu pale nguvu ya umma inapotaka kufanya kazi yake,sheria zinakuwa suspended kwa muda.Tatizo lenu hamtaki kushughulisha akili zenu
 
Unaelewa maana na hatima ya maandamano? Haya yametokea Lebanon Jana.
Beirut explosion: Lebanon PM announces resignation of country's government
 
Na kweli mkuu watu wenye "taaruma" wamekata pembeni tu..
CCM oyee
 
Daahh hii inaitwa hakuna pakushika. Wakimkata hatari wakimwacha agombre hatari. Hakuna penye unafuu.
Bora wamuache ashinde kuliko kumkata coz yatakayotokea makovu yake hayatasahaulika nchini na kuna watu wataitwa THE HAGUE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…