Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Mimi si muumini wa siasa za CCM, nilichukizwa zaidi na CCM ya Magufuli kuliko utawala wowote ule.
•Mambo ya watu kuishi kwa kutegemea uchawa Tanzania tulikuwa hatuyajui lakini kwenye utawala wa
Magufuli ndipo uchawa ulipokuwa ajira rasmi. Kulikuwa na watu wao kazi yao asubuhi mpaka usiku ni kumsifia Magufuli tu.
Yanayofanyika sasa ni reflection tu ya utawala wa Magufuli.
Mmesahau akina Musiba, wasanii walivyopewa kofia za kijani na matukio mengine?
•Watu hawakuruhisiwa hata kutamka jina la Magufuli kwa mtazamo hasi, kumtaja Magufuli pasipo kumwagia sifa kwenye chombo chochote cha habari lilikuwa kosa kubwa la kuhatarisha uhai wako.
•Kikundi kidogo almaarufu Sukuma gang kilikuwa na nguvu ya kuamuru huyu afungwe, huyu atekwe, huyu apewe kesi ya uhujumu uchumi, yule apewe kesi ya madawa ya kulevya.
Hili sasa limepungua. Hongera utawala wa Rais Samia.