Kila utekaji ni afande Mafwele, hivi ndugu wa waathirika wameshindwa kushughulika naye hata kwa radi?

HAKI KWA WOTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2022
Posts
2,783
Reaction score
2,396
Nasikitika sana kuona watu wanamtaja afande mafwele kushiriki ktk kila utekaji na wakati huohuo wakishindwa kuchukua hatua dhidi yake.

Hivi kweli ndugu wa waathirika wameshindwa kuungana na kushughulika na Mafwele wala ndugu zake ili kulipiza?

Kwa hali hii kweli mtaweza kuandamana hiyo tarehe 29.10.2025 iwapo huyu askari mmoja tu kawashinda?

Nachelea kusema huwenda mnamsingizia afande mafwele nyie ndugu ndiyo mnaweza kuwa mnahusika kuwateka ndugu zenu.

Pia soma > GROK: Mjue Faustin Mafwele na matendo yake dhidi ya binadamu

Tutafakari!!
 
Cha ajabu zaidi familia ya PolePole imemtaja Mafwele kuwa ndiye aliyemchukua. Jeshi la polisi halijakanusha, watu wengine baadhi waliopatwa na haya mambo huko nyuma wamemtaja huyu jamaa, haijawai kupingwa na yeye mwenyewe wala mabosi zake. Kibri.
 
Umenikumbusha simba na nyumbu. Simba mmoja anaingia kwenye kundi la nyumbu 200, anachomoa mmoja wengine wote wanakimbia na kwenda kuangalia kwa mbali.
Kwanini hao ndugu wasichukue hatua dhidi ya mafwele iwapo wanaushahidi?namshauri afande mafwele naye awashitaki wanaomchafua ili liwe fundisho kwa kumsingizia ujinga huo.
 
Jeshi la polisi likanushe nini sasa? Nyie ndiyo mthibitishe kwa ushahidi mlio nao dhidi ya mafwele kwani ndiye mnayemtuhumu.Polisi kama taasisi wametoa taarifa yao kuwa wanafuatilia jambo hilo sasa nyie ndiyo lisaidieni kwa kulipa ushirikiano i e: ushahidi
 
VITA ya kumpambania MTU mjinga haijawahi kuwa na matokeo chanya.

Mtalalamika weee then mtasahau

Kama kweli mmeguswa na hali hii ingieni barabarani
 
Kwanini hao ndugu wasichukue hatua dhidi ya mafwele iwapo wanaushahidi?namshauri afande mafwele naye awashitaki wanaomchafua ili liwe fundisho kwa kumsingizia ujinga huo.
In Tanzania, the job of investigating crimes and taking action is the work of the police… in case you don’t know your country’s laws. A citizen cannot investigate a police officer or take action against them!
 
Kwanini wanafuta na JF iko likizo ya TCRA kwa siku 90? Mods wamesahau kama JF haiko hewani TZ.
 
Hawa wakija kupigwa nyundo nyingine kubwa zaidi watakuja kulialia hapa wakati wameyataka wnyw, Moderator na viongozi wengine wa JF acheni JF ijiendeshe yenyewe bila nyie kuingilia lolote humu
 
Tayari kesi ishakuwa nzito hii 😹😹
 
Kama kweli jf ni mahali pa kutoa mawazo/maoni ya kila mtu kwa uwazi hampaswi kufuta huo uzi nilioupandisha kwani kwani uko neutral.

Mkifuta uzi muwe mnatoa na sababu za kuufuta
Bro amka. Wakati unamfanya kila mtu kuwa chawa kwa aina yake
 
Nasikitika sana kuona watu wanamtaja afande mafwele kushiriki ktk kila utekaji na wakati huohuo wakishindwa kuchukua hatua dhidi yake.

Hivi kweli ndugu wa waathirika wameshindwa kuungana na kushughulika na Mafwele wala ndugu zake ili kulipiza?

Kwa hali hii kweli mtaweza kuandamana hiyo tarehe 29.10.2025 iwapo huyu askari mmoja tu kawashinda?

Nachelea kusema huwenda mnamsingizia afande mafwele nyie ndugu ndiyo mnaweza kuwa mnahusika kuwateka ndugu zenu.

Tutafakari!!

Watanzania wapole sana aisee, kama nyumbu tu wanatazama mamba anavyowalamba pembeni ya mto na kushiba na kurudirudia wengine tena unakuta ni mamba mmoja tu
 
Umenikumbusha simba na nyumbu. Simba mmoja anaingia kwenye kundi la nyumbu 200, anachomoa mmoja wengine wote wanakimbia na kwenda kuangalia kwa mbali.
1759820355406-0199bd77-25ce-7873-b534-6cdea2ccad85.jpeg
 
Back
Top Bottom