Kila utekaji ni afande Mafwele, hivi ndugu wa waathirika wameshindwa kushughulika naye hata kwa radi?

Kila utekaji ni afande Mafwele, hivi ndugu wa waathirika wameshindwa kushughulika naye hata kwa radi?

Anakinga ya kijani kutoka ccm, nasikia ukiwa na hiyo kadi hufi mapema kama hicho chama kilivyo kibishi kufa, hapa nafikiri ili amalizwe inabidi tukate mzizi mkuu ambao ni hiyo langi ya kijani.
 
Nasikia wamempa polepole siku 4 kisha watamuua. Aisee wao naona wataishi milele na familia zao.

Pia naona wanajua Mungu hawezi kuwafanya lolote hata kama wanajua alichoongea Polepole ni ukweli ila hawajali maadamu wao ni zaidi ya Muumba.

Hongera sana mama Samia, hakika mtoto ni Abduli tu, hao akina polepole ni nyani tu.
 
Mjifunze kudeal na mzizi wa tatizo,badala ya watu wanao tumwa kutekeleza.
You said it well, Kama JK anaweza kuachwa kuendelea kuwa hai, basi naamini mzizi utakuwa bado hai na unapumua kwa mirija 1000
 
You said it well, Kama JK anaweza kuachwa kuendelea kuwa hai, basi naamini mzizi utakuwa bado hai na unapumua kwa mirija 1000
Huwa nashangaa sana hata kwenye kesi ya Lissu wanaanza kuwalaumu mawakili wa serikali na kutaka kupambana nao.wakati wao wanatumwa tu kutekeleza hayo.. Tudeal na mzizi wenyewe.

Hata sisi tunaolaumu pengine tungekuwa sehemu ya serikali tungejikuta tunatii tu maagizo.
 
Nadhani hiyo ilitakiwa iwe proof tosha kwamba uchawi haupo mkuu. Otherwise wangeshinda vita ya majimaji.
 
Huyo anatumwa wewe.hakurupuki tu kwenda kufanya hayo.
Na mshahara analipwa
 
Wauaji wa aina yake huwa na mwisho mbaya sana.
 
Kwanini wanafuta na JF iko likizo ya TCRA kwa siku 90? Mods wamesahau kama JF haiko hewani TZ.
Mimi nafikili hiyo bani unawahusu walioko ndani ya Tz Mods na members tulioko nje ya nchi haituhusu...
 
Tuchange pesa tutafute nyangau tumalizane nae
 
Waganga wa bongo wanachoweza wao ni kukutapeli et wanamrudisha mpenzi aliyepotea
 
Jeshi la polisi likanushe nini sasa? Nyie ndiyo mthibitishe kwa ushahidi mlio nao dhidi ya mafwele kwani ndiye mnayemtuhumu.Polisi kama taasisi wametoa taarifa yao kuwa wanafuatilia jambo hilo sasa nyie ndiyo lisaidieni kwa kulipa ushirikiano i e: ushahidi
Police wajichunguze?.
 
Kama kweli jf ni mahali pa kutoa mawazo/maoni ya kila mtu kwa uwazi hampaswi kufuta huo uzi nilioupandisha kwani kwani uko neutral.

Mkifuta uzi muwe mnatoa na sababu za kuufuta.
Kwq hali hii ndio maana nyuzi zako zinafutwa, haya malalamiko peleka mahali sahihi.
Utasaidika.

Au mtag moderator yeyote akusaidie.
 
Back
Top Bottom