Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
Baada ya kuua watu, kutesa watu hovyo na kuongoza ubagazaji wa raia wa nchi hii, sasa umefikiwa.
Pole.
Pole.
Kwani wachawi hawafi?.Yule ni mkara wachawi hatari
Hivi Mafwele family inajisikia kuwa na jitu la aina hii? Si linaleta laana tu kwenye ukoo, ambayo itatesa vizazi na vizazi?Nasikitika sana kuona watu wanamtaja afande mafwele kushiriki ktk kila utekaji na wakati huohuo wakishindwa kuchukua hatua dhidi yake.
Hivi kweli ndugu wa waathirika wameshindwa kuungana na kushughulika na Mafwele wala ndugu zake ili kulipiza?
Kwa hali hii kweli mtaweza kuandamana hiyo tarehe 29.10.2025 iwapo huyu askari mmoja tu kawashinda?
Nachelea kusema huwenda mnamsingizia afande mafwele nyie ndugu ndiyo mnaweza kuwa mnahusika kuwateka ndugu zenu.
Pia soma > GROK: Mjue Faustin Mafwele na matendo yake dhidi ya binadamu
Tutafakari!!
na uhakika asilimia 100 jamaa anasingiziwa mengi tu kwa sababu wanazo zijua wao,pia familia ya pole pole inaonekana ni familia inayopenda majungu fitina na uzushi na chuki tazama sura zaoKwanini hao ndugu wasichukue hatua dhidi ya mafwele iwapo wanaushahidi?namshauri afande mafwele naye awashitaki wanaomchafua ili liwe fundisho kwa kumsingizia ujinga huo.
mimi shida yangu ilikua huyu pole pole alie nivunjia duka langu usiku mbezi mwishoAcha inyeshe tuone panapovuja , mimi nina shida na Juma homera popote ulipo jiandae
Mmm utamfiaje sasaa?Huyo haihitajiki uchawi ,inatakiwa watu wadeal naye 1on1.
Hii ikuonyeshe kuwa radi ya watu haipoNasikitika sana kuona watu wanamtaja afande mafwele kushiriki ktk kila utekaji na wakati huohuo wakishindwa kuchukua hatua dhidi yake.
Hivi kweli ndugu wa waathirika wameshindwa kuungana na kushughulika na Mafwele wala ndugu zake ili kulipiza?
Kwa hali hii kweli mtaweza kuandamana hiyo tarehe 29.10.2025 iwapo huyu askari mmoja tu kawashinda?
Nachelea kusema huwenda mnamsingizia afande mafwele nyie ndugu ndiyo mnaweza kuwa mnahusika kuwateka ndugu zenu.
Pia soma > GROK: Mjue Faustin Mafwele na matendo yake dhidi ya binadamu
Tutafakari!!
Nyumbu wanamsingizia tu.Nasikitika sana kuona watu wanamtaja afande mafwele kushiriki ktk kila utekaji na wakati huohuo wakishindwa kuchukua hatua dhidi yake.
Hivi kweli ndugu wa waathirika wameshindwa kuungana na kushughulika na Mafwele wala ndugu zake ili kulipiza?
Kwa hali hii kweli mtaweza kuandamana hiyo tarehe 29.10.2025 iwapo huyu askari mmoja tu kawashinda?
Nachelea kusema huwenda mnamsingizia afande mafwele nyie ndugu ndiyo mnaweza kuwa mnahusika kuwateka ndugu zenu.
Pia soma > GROK: Mjue Faustin Mafwele na matendo yake dhidi ya binadamu
Tutafakari!!
Dawa ya huyo ni hitmen aka Death Squad wanapita naye.Mmm utamfiaje sasaa?