πππ Kichuo chuo enzi hizooo! Ndo tumefika first year kesho yake asubuhi!
Nikauliziaa bar πΊ zipo wapi? Nikaelekezwa
SAUT MWANZA hiyooo!
Nikaanza mwendo wa castle lager ndogo!
Jamaa wametoka class kuitafuta Mimi Niko bar! Basi wakaja na videmu
Nikawaambia agizeni ntalipa!
Kuna dada akaagizaa bia ya senator ππ
Mpaka muhudumu akashangaaa! Kumbe hajawahi kunywa bia ila anaonaga baba ake home anakunywa senator hivyo ndo bia pekee anaijua!
Nikawaambia bebeni mtu wetu muondoke nae sitaki kesi