Wangapi...?Kilichowaua vijana wengi tarehe 29 ni ujinga.
Yaani mtu yuko nje anakuambia ramba nondo ya moto na wewe unaramba.
Waliofuatwa ndani ni wale walioua askari na kukimbilia maghetoni. Wachache sana ndio walikufa kwa bahati mbaya, kwasababu hali inavyochafuka vitani askari humhesabu kila mtu aliyeko battle field ni askari wa upande wa pili