nimeandika mahala kulitenga hili, au umeona uweke tu!Heche ni kiongozi wa chama cha umma, suala la uadilifu wake sio kati yake binafsi na wale anaowaongoza, unless Chadema wawe hawana mpango wa kushika dola, something which i don't think so.
haya yote ni upuuzi, unajuwa nilicholenga kueleza.▪ Unapoandika Chadema waachiwe chama chao umenishangaza, kwa member wa aina yako na experience yako humu ndani!.
• Ina maana bado hujui chama cha siasa ni mali ya umma?!
EEEEEnHEEEEeee!Nashangaa sana chama chenye miaka zaidi ya 30 wafuasi wake kutetemeka pale viongozi wao wanapotakiwa kuwajibika, ajabu kabisa, lazima mbadilike ili kuijenga Tanzania bora mbele ya safari.
Mtu duni kama wewe hujui maana ya kusoma ni nini.Subiri uone utakavyojibiwa ujinga ujinga tu
Huyu sijui hata kama amesoma mpaka form 4 , ana uwezo mdogo sana kama mtoto wa darasa la 7 kujenga hoja halafu yuko humu tokea 19kweusi
Naona unakikimbia kile ulichokiandika mwenyewe!nimeandika mahala kulitenga hili, au umeona uweke tu!
Kwa hao niliowajumuisha wanaanzia kwenye chama na hadi nje ya chama; sasa wewe unataka nionekane kama nimeweka mipaka?
Kwa wakati wowote, kama atataka kuwa kiongozi katika ngazi yoyote ile, ni lazima akubali na mwanga umwakie katika maswala yake yote.
Na hili halimhusu Heche pekee. Ni ajabu kwamba msisitizo unamhusu yeye wakati tukiona mapapa wanaohitaji kuhojiwa hata hawasemwi.
Na zaidi ya hivyo: hivi ni kitu gani kilichompa Katuga motisha ya kumhusisha Heche katika maswala binafsi na kuyaleta mahakamani wakati siyo mshtakiwa; maswala yale yale yaliyotumiwa na hao akina Lema, umejiuliza hilo?
Kwa hiyo tukubali kwamba Lema na Katuga wanaelewana sana na wanafanya kazi pamoja ya kutaka kumwonyesha kuwa Heche hafai kuwa kiongozi ndani ya CHADEMMA?
haya yote ni upuuzi, unajuwa nilicholenga kueleza.
hayo maswala yameanza kuingizwa ndani ya chama toka nje kwa mlango wa akina Lema; ambao kama wangekuwa na lengo zuri kwa chama chao yangeishia huko huko ndani ya chama; lakini wakaona yaenezwe nje ya chama kwa malengo yanayojulikana. Sasa hapa unataka kujifanya huelewi kitu gani.
EEEEEnHEEEEeee!
Hao "viongozi wanapotakiwa kuwajibika", nani huyo anayetaka viongozi wawajibike, akina Katuga na hawa akina 'Adam francis' matapeli wasiokuwa na uchungu wowote na taifa hili, ili mradi wanajaza matumbo yao?
Mkuu 'denoo' nilijuwa una 'interest' juu ya jambo hili mara ya kwanza kabisa nilipokusoma na tukajibishana.
Heche anatakiwa kuwajibika/kuwajibishwa kama anayo makandokando yake; sipo hapa kumtetea; lakini kwa namna haya yanayoendelea humu kumbini, ni dhahiri kuna la ziada mbali kabisa na shutuma zinazoelekezwa kwake kwa kutumia watu kama Lema; ambaye sasa sina hakika kama doa alilojivisha kuwa upande hasimu wa chama chake ataachana nalo kiurahisi.
nikimbie vipi. Sema hutaki kuelewa niliyoandika katika mistari hiyo ya mwanzo. Badala ya kusoma na kuelewa maana pana inayolengwa na hayo maneno, unakimbilia kuweka tafsiri unayotaka wewe.Naona unakikimbia kile ulichokiandika mwenyewe!
Next time usiandike kitu usichojua maana yake.
Kama ulijua Chadema ni mali ya umma usingeweka makundi kwenye majibu yako.
Na kama unaona yupo mwingine asie msafi Chadema mtaje na ushahidi uwepo, sio maneno matupu yanayochagizwa na ushahidi usiohusiana kama kuleta ukabila.
Mengine naona umeandika porojo tu zisizohusiana na kile ulichoandika mwanzo.
Nimeonesha wazi niko upande wa Lema kwasababu mpaka sasa bado sijaona ushahidi wa tuhuma yoyote dhidi yake.nikimbie vipi. Sema hutaki kuelewa niliyoandika katika mistari hiyo ya mwanzo. Badala ya kusoma na kuelewa maana pana inayolengwa na hayo maneno, unakimbilia kuweka tafsiri unayotaka wewe.
Sasa hapo nitakusaidia vipi kwa mtu kama wewe ambaye umeonyesha waziwazi unavyofungamana na Leama na kundi linalomtumia kuivuruga CHADEMA.
Unazungumzia "kuleta ukabila"?
Umenisoma wapi nikieleza mambo ya ukabila; au unajistukia mwenyewe? Wewe ni kabila moja na Lema?
Sasa hata mngekuwa kabila moja, mimi hayo huwa hayanisumbui; yatanisumbua tu kwa huyo anayejibainisha kuwa na tabia hiyo. Siwezi kulaumu kundi zima kwa tabia mbovu za watu wachache katika kundi hilo.
Sasa kama wewe umejibainisha hivyo, basi nitakuchukulia hivyo hivyo wewe mwenyewe, na siyo hao wengi wengine ambao siwajui, na sijasikia wakijibagua kama unavyojaribu kufanya hapa.
Hata madai ya passport ya Heche kurudishwa bado huamini?Nimeonesha wazi niko upande wa Lema kwasababu mpaka sasa bado sijaona ushahidi wa tuhuma yoyote dhidi yake
Tafsiri yako ya maneno hapa chini ni hayo uliyohitimisha wewe kuwa nimeyaandika kuhusu CHADEMA kuwa au kutokuwa taasisi ya yeyote Tanzania?Kuhusu ulichoandika mwanzo bado msimamo wangu uko pale pale, uliposema Chadema waachiwe mambo yao ulikosea, usilete visingizio vako vya sikukuelewa.
Mambo ya pesa kwenye akaunti yake (kama yapo kweli) ni swala lake na nafasi yake ya uongozi na anaowaongoza na watakaotaka kuongozwa naye kulimaliza yeye mwenyewe na hao watu wengine anaotaka wasihoji uaminifu wake kwao.
Tafsiri ya hayo maneno niliyotumia hapo juu ndiyo hii uliyoweka wewe hapa!Heche ni kiongozi wa chama cha umma, suala la uadilifu wake sio kati yake binafsi na wale anaowaongoza, unless Chadema wawe hawana mpango wa kushika dola, something which i don't think so.
▪ Unapoandika Chadema waachiwe chama chao umenishangaza, kwa member wa aina yako na experience yako humu ndani!.
Naona huu ndio ushahidi wa tuhuma zako kwa Lema!Tafsiri yako ya maneno hapa chini ni hayo uliyohitimisha wewe kuwa nimeyaandika kuhusu CHADEMA kuwa au kutokuwa taasisi ya yeyote Tanzania?
Tafsiri ya hayo maneno niliyotumia hapo juu ndiyo hii uliyoweka wewe hapa!
Ni sehemu gani uliponisoma nimeandika "CHADEMA waachiwe chama chao"? Haya maneno umeyasoma wapi katika hiyo mistari miwili?
Mkuu 'deno', sina shaka tena ni kipi kinachokusumbua katika hili swala la Lema na Heche. Kwa hiyo sina haja tena ya kuendelea na majibishano haya.
Unapotuhumiwa kwa mambo matatu au manne jibu yote, usiache hata moja.Hata madai ya passport ya Heche kurudishwa bado huamini?
Unajaribu sana kujishikiza kwenye maneno ambayo hata huyasomi na kuyaelewa yanalenga kitu gani, ili mradi tu uonyeshe uhalali wa madai yako.
Nimekwisha jiridhisha aina ya mtu ulivyo, kwa hiyo nadhani sasa sina haja ya kuendeleza tena majibizano haya.
Tutabaki tunazungushana tu katika mambo yaleyale tuliyokwishaelezana bila ya sababu yoyote.
Eti huyo naye ni Daktari?Hiyo ni tafsiri uliyoitaka wewe, na sasa unataka na wengine tuchukue tafsiri yako ya kipuuzi?
kama wewe unanufaika na hiyo tafsiri, fahamu pia kwamba wengine hawakuona hivyo unavyofikiri wewe.
Hivi unayo matatizo gani kichwani mwako. Unanilazimisha nikubali kukosea wakati ninakuonyesha upotofu wako ulipo?Naona huu ndio ushahidi wa tuhuma zako kwa Lema!
Ukikosea next time, jifunze kukubali maisha yaendelee.
Unao uhusiano wowote na mtu anayejitambulisha humu JF kuwa anaitwa 'Fundi Mchundo', au ni wewe mwenyewe unatumia majina mbalimbali humu jukwaani?Unapotuhumiwa kwa mambo matatu au manne jibu yote, usiache hata moja.
Hata hilo la passport nitamuamini vipi ikiwa alishathibitika pale mahakamani alikuwa anatoa majibu ya uongo huku akiwa chini ya kiapo?!
Mnashangaza sana mnavyomtetea Heche huku mkimkandamiza Lema kwa tuhuma zisizo na ushahidi.
Tanzania tumefikia hatua hii ya hovyo kabisa kwa sababu ya watu wa aina hii kuwa kwenye ngazi za maamuzi. Hawa ndio matapeli wanaoliumiza taifa hili sasa hivi.Eti huyo naye ni Daktari?
Wabongo wanafikiria sana. Ni ujuha kuanza kuwa mbeya na mfuatiliaji wa personal details kama pesa account za benki..sasa fikiria na Lissu angekuwa na taarifa za akaunti za benki za Mama Abduli, na wote wanaomnyanyasa ingekuwaje.
..alichofanya Katuga hakikupaswa kufanyika mahakamani. Kitendo kile kimeinajisi mahakama na ofisi ya muendesha mashtaka.
..Na ukiona muendesha mashtaka amefanya kile alichofanya Katuga ujue kwamba hana kesi. Watoto wa mjini wanasema, " amekata pumzi. "
Mleta mada nshomile takataka, chawaKatuga katoa shutuma dhidi ya Heche, ambaye hakuwa mjibu mashtaka.
Na katika hizo shutuma alizotoa hajathibitisha hata moja; sasa Heche atahangaika vipi?
Kama Katuga anataka aanzishe kesi dhidi ya Heche kuhusu hayo akiyodai, na Heche atapata fursa ya kujitetea juu yake.
Huyu mleta mada anafikiri kuzungumzia tu hayo mahakamani inatosha kumhukumu Heche?