Kilichofanya Tundu Lissu apigwe risasi hadharani hiki hapa

Punguza upumbavu basi!
 
Vikundi ndani ya CCM.

Kumbuka bado kuna vita ya vikundi ndani ya CCM.
Hata kuwe na vikundi kiasi gani hii story imekaa kimagumashi jamaa anataja figures kirahisi rahisi eti bil 10 hakuna kichaa wa namna hiyo yaani anayeweza kukataa hiyo hela kama Mbowe na Lissu waliweza kumpokea Lowassa waliyemwita fisadi na Mbowe akalipwa na hela mpaka wakampa kuwa mgombea wao atashindwa vipi kupokea bil 10? Kwasisi tunaojielewa hapo ni chai
 
Kila mmoja wetu na uelewa wake.

Unaweza kuiona billion 10 au 20 nyingi kwa kuisikia lakini ukiwa una control matrillion kwa kauli yako tu, ambazo hukuzitolea jasho, billion 10 au 20 wala hazikuumizi kichwa.

Elfu kumi ni ndogo sana kwa wengine lakini ni kubwa sana kwa wengine.
 
Mnyika haezi pokea RUSHWA. Na Mbowe Hana Bei.
Mbele ya mfanya biashara, hakuna kitu wala mtu asiye na BEI...dont trust hawa wanasiasa...siasa za ukombozi walizifanya wazee wetu enzi hizoo...hawa wa sasa wanafanya siasa za kisasa..siasa maslahi.. they inject funds into their movements..alot of money to run operations...what do you expect??? Wanatarajia mavuno braza...siasa ndio shamba lao
 
Sukuma gang 2025 imefika na msipojiongeza kutafuta kaz halali kwa kutegemea buku saba tunaenda kuwafuta kabisa na hamtaonekana tena kwenye uso wa dunia.
 

Tittle kubwa, andiko rubbish
 
Kumbe Lissu kalamba 3b,aja nimtafute anilipe Hela yangu ya mafuta niliyomkopesha kipindi Cha kampeni
 
Bado unaendelea kushiriki kumwaga damu ya watanzania wanyonge kwa faida yako na ubinafsi wako, na Mungu wa Mbinguni ataamua haki kwa haya yote unayowatendea ndugu zako maskini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…