Kilichofanywa na Iran ni trela tu, ila watazamaji (Israel) wakataka movie nzima wataletewa

Trela gani wewe mnafiki Iran kazabuliwa kofi la uso na israel kaishia kumsukuma israel na kutoa majigambo mashambulizi yamepanguliwa wala hakuna madhara ni upuuzi mtupu
Tunasubiri mwisho wa Ayattula kama mlivyo tuahidi?
Eti Iran akirusha hata jiwe ndani ya Israel ndo mwisho wa Ayatulla ,hivi mnadhani vita ni rahisi kama mnavyo chambaga vinyeo venu?
 
Israeli akijibu msije mkaanza kulia kwamba anaua watoto na wanawake
Israel ilianza kulia lia toka wiki iliyopita kabla hata ya kushambuliwa. Yani kuambiwa kuwa italipiziwa kisasi tayari ikakimbilia kwa bwana zake Marekani, UK na nchi zingine za magharibi kuomba msaada.

Yani Israel ni nchi ya hovyo sana ambayo haina uwezo wa kupigana vita peke yake. Inachokoza alaf inakimbilia kuomba isaidiwe silaha na bwana zake. Haina tofauti na Ukraine.

Tukija kwa Iran wakati Israel inaishi kwa kutegemea silaha na ulinzi kutoka nchi zingine, yenyewe (Iran) kwanza ina vikwazo vya zaidi ya miaka 70, lakini inajitegemea yenyewe kwa kila kitu. Haijawahi kuomba hata kisu kutoka Marekani au UK. Inajisimamia yenyewe kwa kutengeneza silaha zake ambazo nyingi zimeleta matokea mazuri katika vita vya Russia na Ukraine. Inajitegemea kuimarisha uchumi wake na uwezo wake wa kijeshi. So sio rahisi kuiyumbisha. Kumbuka hapo Iran peke yake inaenda kupigana na nchi zaidi ya tatu yani Israel, USA na UK huku pia msaada wa kimya kimya kwa nchi hizo ukija kwa mbali kutokea katika nchi za European. Lakini nakuhakikishia kuwa Iran haitoomba poo. Itapambana bila msaada wa yoyote hadi mwisho.

Hilo ni taifa kamili lenye uwezo kamili. Sio wale vijana elf 20 wa hamas ambao Israel imeenda kupambana nao kwa midege ya kivita, mivifaru, mimeli na bado msaada mkubwa wa kijeshi wanaopata kutoka Marekani haujasaidia kuwamaliza hao vijana elf 20 ambao hawamiliki hata kifaru ki1 cha vita.
 
Maelezo mareefu Pumba tupu zime jaa embu tueleze target 5 zilizo shambuliwa usiku wa leo na kuweza kuathirika kwa kiasi kikubwa baada ya ayo mashambulizi..
Ukileta na idadi ya vifo vilivyo tokea itapendeza zaidi
 
Hoja nyingine za kitoto sana,
Iran ni nchi kubwa mara mbili ya Tanzania ikiwa tajiri wa mafuta, gesi na rasilimali nyingine za madini wakati Israel ni sawa na nusu tu ya mkoa wa Dodoma huku sehemu kubwa ikiwa jangwa.
 
Maelezo mareefu Pumba tupu zime jaa embu tueleze target 5 zilizo shambuliwa usiku wa leo na kuweza kuathirika kwa kiasi kikubwa baada ya ayo mashambulizi..
Ukileta na idadi ya vifo vilivyo tokea itapendeza zaidi
We mjaluo vipi? Huna tv ? Simu ya shemeji hii? Watu mia wameuawa Jana usiku alafu unaleta ushuzi humu?
 
Habari za ivi punde, Makamanda wa Iranian Revolution Guard yameoinya USA asiingilie mbungi lao na Israel kwani watashambulia base zao zote za mashariki ya kati na Jordan nae akae kwa kutulia kwani kituo kinachofuata kisije kikawa wao. Jordan na Saudia inasemekana ndio wamezuia madude mengi ambayo ilibidi yagonge Israel
 
Hoja nyingine za kitoto sana,
Iran ni nchi kubwa mara mbili ya Tanzania ikiwa tajiri wa mafuta, gesi na rasilimali nyingine za madini wakati Israel ni sawa na nusu tu ya mkoa wa Dodoma huku sehemu kubwa ikiwa jangwa.
Imesahau kuandika kuwa Iran ina vikwazo na haitegemei misaada kutoka kwa yoyote kwa zaidi ya miaka 50, ila Israel haina vikwazo, imeachwa itengeneze silaha itakavyo na inasaidiwa kijeshi na kiuchumi na mataifa yenye nguvu na uchumi mkubwa, lakini bado inalia lia.

Ok vipi ilipopambana na Hamas ambayo haina kifaru hata ki1 cha vita? Kulikuwa na umuhimu gani wa Israel kulia lia iendelee kuongezewa msaada wa silaha na ulinzi ili ipambane na kakundi ka Hamas kaliko jichokea?
 
Kitu wanachosahau, ni kwamba hata Iran ana washirika wake. Ukiachikia mbali uwezo wake, ikitokea kachangiwa, hata yeye nyuma yake ana watu walio tayari kumpa kampani,na wana nguvu zaidi.

Hivi,ukiangalia kwa sasa hali ya Ukraine: USA huyo huyo,ambaye alikuwa kifua mbele,si ndo ameshashindwa? Nchi ipo gizani,rais anadai bunge halipitishi msaada. Je,limeshindwa kwa Ukraine,litakubali kwa Israel,ambayo ni wazi imekuwa ikichokoza Iran?
Mi naonaga ikitokea Israel ikaingia vitani rasmi, mtaona Palestina ikiimba kwa shangwe. Huenda ndo ikafutika.
 
Huenda huu ndio ukawa mwanzo wa Palestina kupata uhuru wake kutoka kwa mabeberu wa "kiyahudi wa mchongo".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…