Kilichoitokea Dortumund kitatokea Yanga kesho

Umeongea kiwanamchezo sio wale wengine wanasema kwenye ulimwengu wa roho 👻.

Hilo linawezekana kabisa mpira una mambo mengi sana jambo la msingi bench la ufundi lifanye kazi yake ya Psycolgy kwa wachezaji.

Lakini pia vyovyote itakavyokuwa Yanga imetuheshimisha hatua iliyofikia
 
Usikariri..

Hao Waarabu ni kama Marumo tu.....watapigwa vizuri tu.

Kila laheri Uto...
 
Achana na hao utopolo wanaoendeshwa na mihemko...lets wait and see.
 
Na iwe hivyo
 
Kwenye mpira chochote kinawezekana lakini hiyo ya kutufananisha na fulani umechemka Mkuu.

Yanga ni Yanga na Dortmund ni Dortmund. Huo ndo ukweli.
Kwenye mpira timu tofauti lakini kuna vitu vingi vinafanana, ikiwemo suala la saikolojia za wachezaji, wote ni binadamu, wanakua na presha na paniki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…