Mkuu kama unajua ananyongwa basi tulia na majibu yako, mbona una kiherehere kuliko hata hiyo Mahakama?Hata ajitete vip hukumu ya kunyogwa mpaka kufa ipo pale pale,,.
tetee vip hukumu ipo pale pale ya kifo
Nimekuambia ukweli; unaumiaNikufuatilie una nini wee mpuuzi? Unataka nikukoboe au? Em kwenda huko, umeitwa wewe hapa? Si uende kwenye nyuzi za machawa wenzio.
Mjinga wee.
Em toka hapa bhana wee.Nimekuambia ukweli; unaumia
Acha ku quote comments zangu kama unaumiaEm toka hapa bhana wee.
🙏Mkaushie Mlongo, nishamwambia akaanzishe uzi wake wa kuichambua hii kesi
Sasa mzee unataka uanzishe uzi tusichangie? Mimi nilisema nitaleta Tathimini kwa haya yanayoendelea, kwa faida ya umma, kama wewe unachofanya.Unafanya yote haya kwa faida gani ? Kaanzishe uzi wako ili uchambue kwa uhuru hapa Acha watu wapate taarifa kinachoendelea mahakamani mbona simple tu.
Tundu Lissu ameisoma sheria na ameijua sheria. Mawakili wa serikali sijui watawezaje kupangua hoja za LissuHivi kwenye kipengele hichi mawakili wa serikali hawaruhusiwi kuingilia mazungumzo? Maana tangu aanze kugonga nyundo siijaona akatishwe.
Watu wenye akili wanajua Lissu ananyongwaTundu Lissu ameisoma sheria na ameijua sheria. Mawakili wa serikali sijui watawezaje kupangua hoja za Lissu
hii ni ngori 🐒TUNDU LISSU ANAFANYA MAJUMUISHO YA MWISHO MAHAKAMANI
SEHEMU YA 8️⃣
PW17 akaendelea kusema:
“Tulipofika Makao Makuu ya CHADEMA, we were prepared to cover the meeting and livestreaming.”
“We used the camera to footage to mainstream the meeting.”
📺 Kwa hiyo, walitumia mtandao wao wa Jambo TV kutangaza.
Na jina walilotumia kurusha matangazo lilikuwa Jambo TV.
Kwamba hilo wazo la kutangaza live lilikuwa la kwao, wala siyo la mtu mwingine.
Ukurasa wa 492.
Yote hii ni examination-in-chief ya shahidi wao.
Hapo alikuwa hajahojiwa na mimi hata kidogo.
Amekubali kula kitu. 😄
Waheshimiwa Majaji, katika mashahidi wote 17—mashahidi 12 wa upande wa mashtaka na 5 wa utetezi—huyu alikuwa shahidi mwepesi zaidi.
⚽ Kama ni goli la kujifunga wenyewe, ni kosa la kumleta shahidi PW17.
Tena goli la kisigino! 😂
Kwa jinsi huyu shahidi alivyojifunga, wala hawaku-re-examine.
The case was finito.
😂 MAHAKAMA KICHEKO!
Ushahidi huu unaiambia nini Mahakama?
Katika kesi ya Makonyo John @ Kibuna vs Republic, ushahidi huu, Waheshimiwa Majaji, siyo wa kuaminika.
Hakuna Mahakama inayoitwa Mahakama ya Sheria itakayotumia ushahidi huu.
Totally unreliable and completely not credible.
⚠️ Na hii siyo kesi ya kuku. Ni kesi ya uhaini, inahusu maisha ya watu.
Waheshimiwa Majaji, ushahidi wa utetezi ukoje?
Ushahidi wa utetezi ukinyooka.
Ukurasa wa 592 ni ushahidi wangu. Nilisema everywhere waliorusha matangazo siyo mimi.
Na vilevile upo ukurasa wa 621.
Na ukurasa wa 622.
(Oyaa huyu Lissu sio poa)
WEKA EMOJI KAMA UNASOMA
SHARE ZAIDI UJUMBE UFIKE MBALI.
Inawezekana haujui uwezo wa mwenyezi Mungu,,asiponyongwa ? tukuite jina Gani?Watu wenye akili wanajua Lissu ananyongwa
Kila mtu yupo na Mungu wake. Unaongelea Mwenyezi Mungu wako au wa Lissu?Inawezekana haujui uwezo wa mwenyezi Mungu,,asiponyongwa ? tukuite jina Gani?
Wewe mbwa upook.🐒
Kila mtu yupo na Mungu wake. Unaongelea Mwenyezi Mungu wako au wa Lissu?
[/QUOT
Mungu ni Mmoja tu — Allah.
Kwa Ukristo: Mungu ni Mmoja, anayeeleweka katika Utatu: Baba, Mwana na Roho Mtakatifu.
M umesema watu wenye akiri wanajua lissu anavyongwa asiponyongwa je?
Mwenyezi Mungu hapangiwi
Mwenyezi Mungu anatenda wakati ambao wanawe wamekataa tamaa
Kumbe kunyongwa kazi ngumu bora kujinyongaTUNDU LISSU ANAFANYA MAJUMUISHO YA MWISHO MAHAKAMANI
SEHEMU YA 1️⃣0️⃣
“I can imagine kwa watu ambao sio wajanja kama mimi sijui wanafanywaje.”
Wanajua sijatenda kosa tangu siku waliponikuwa. Kila mtu anajua hilo.
JAJI NDUNGURU:
“Tuendelee, nimeshaandika.”
🗣️ LISSU:
Kwa hiyo nahitimisha kwa kusema hoja ya sita ni NEGATIVE.
HOJA YA SABA
Waheshimiwa Majaji, hoja ya saba ni:
Je, Serikali ilitishwa na hayo maneno?
Hoja hii inazungumzia matokeo ya nia ya kutenda uhaini chini ya kifungu cha 39(2).
Waheshimiwa Majaji, huwezi kuona hilo katika kesi ya Gray Likungu Mattaka.
Na watu wengi hawajui kwamba kesi ya Gray Likungu Mattaka ndiyo kesi ya Bibi Titi Mohamed.
Bibi Titi Mohamed alikuwa Mwenyekiti wa kwanza wa UWT na mpigania uhuru wa nchi hii.
Ule mtaa unaoitwa Bibi Titi Mohamed umepewa jina lake. Yeye ndiye aliyeshitakiwa kwa uhaini.
Tunaita kesi hiyo Gray Likungu Mattaka kwa sababu ndiye aliyekuwa mshtakiwa namba moja.
Mahakama ni mahali pa kuelimishana pia.
Katika kesi ya Gray Likungu Mattaka, haikufika katika hatua ya intention.
Na ndiyo maana juzi nilisema Mahakama hii ina nafasi ya kuweka historia.
Mahakama hii sasa inaweza kujielekeza katika kifungu cha 10(2).
Kama nia ni kutenda kosa, basi matokeo yaliyokusudiwa kutendwa na nia hiyo lazima yasemwe na yathibitishwe kwa ushahidi.
Waheshimiwa Majaji, kwa maana hiyo, upande wa mashtaka ulitakiwa kuonyesha kwenye hati ya mashtaka, inayotuhumu kwamba kulikuwa na nia ya kuitisha Serikali ya Jamhuri ya Muungano.
Walitakiwa kuonyesha matokeo ya nia hiyo—Serikali ya Jamhuri ya Muungano ilitishika au haikutishika.
Na walitakiwa kuonyesha katika Information kwamba, walipokuwa wakileta huo ushahidi, Serikali ya Jamhuri ya Muungano ilitishika au haikutishika.
Upande wa mashtaka haukuonyesha hilo kwenye hati yao ya mashtaka (Information).
Walifikiri unarusha mashtaka hivi, litakalompata na limpate.
Hawakubainisha katika mashtaka kwamba:
«“Any particular shown how the Executive of the United Republic has been intimidated.”»
That failure to show the results makes the case defective.
Essentials of the Information must be shown.
Lazima uonyeshe vielelezo vya mashtaka, na usipovionyesha, hati ya mashtaka ni batili.
Siyo tu kwamba hawakuonyesha vielelezo kwenye hati yao ya mashtaka; vilevile hawakuonyesha ushahidi wowote kuhusu jinsi Serikali ya Jamhuri ya Muungano ilivyotishika.
Serikali ya Jamhuri ya Muungano ipo katika Sura ya Pili ya Katiba.
Yote yanaelezea Serikali ya Jamhuri ya Muungano.
Serikali ya Jamhuri ya Muungano inaongozwa na Rais.
Ndiyo Kiongozi Mkuu wa Serikali na ndiye Amiri Jeshi Mkuu.
Akipaswa aje atoe ushahidi kama Serikali yake imetishika.
Mimi niliomba aitwe.
Walionishtaki wakapinga vikali, na Waheshimiwa Majaji mkanikubalia.
Mimi, ambaye nilishtakiwa, nilitaka aitwe, lakini hakuna.
WEKA EMOJI KAMA UNASOMA
SHARE ZAIDI UJUMBE UFIKE MBALI.