the ostrich eggs
JF-Expert Member
- Sep 14, 2026
- 299
- 184
Kesi imetumia Trilion zaidi ya 60 ili mtu anyongwe kweli kazi kweli kweli kumbe bora kujinyongaTUNDU LISSU ANAFANYA MAJUMUISHO YA MWISHO MAHAKAMANI
SEHEMU YA 1️⃣0️⃣
“I can imagine kwa watu ambao sio wajanja kama mimi sijui wanafanywaje.”
Wanajua sijatenda kosa tangu siku waliponikuwa. Kila mtu anajua hilo.
JAJI NDUNGURU:
“Tuendelee, nimeshaandika.”
🗣️ LISSU:
Kwa hiyo nahitimisha kwa kusema hoja ya sita ni NEGATIVE.
HOJA YA SABA
Waheshimiwa Majaji, hoja ya saba ni:
Je, Serikali ilitishwa na hayo maneno?
Hoja hii inazungumzia matokeo ya nia ya kutenda uhaini chini ya kifungu cha 39(2).
Waheshimiwa Majaji, huwezi kuona hilo katika kesi ya Gray Likungu Mattaka.
Na watu wengi hawajui kwamba kesi ya Gray Likungu Mattaka ndiyo kesi ya Bibi Titi Mohamed.
Bibi Titi Mohamed alikuwa Mwenyekiti wa kwanza wa UWT na mpigania uhuru wa nchi hii.
Ule mtaa unaoitwa Bibi Titi Mohamed umepewa jina lake. Yeye ndiye aliyeshitakiwa kwa uhaini.
Tunaita kesi hiyo Gray Likungu Mattaka kwa sababu ndiye aliyekuwa mshtakiwa namba moja.
Mahakama ni mahali pa kuelimishana pia.
Katika kesi ya Gray Likungu Mattaka, haikufika katika hatua ya intention.
Na ndiyo maana juzi nilisema Mahakama hii ina nafasi ya kuweka historia.
Mahakama hii sasa inaweza kujielekeza katika kifungu cha 10(2).
Kama nia ni kutenda kosa, basi matokeo yaliyokusudiwa kutendwa na nia hiyo lazima yasemwe na yathibitishwe kwa ushahidi.
Waheshimiwa Majaji, kwa maana hiyo, upande wa mashtaka ulitakiwa kuonyesha kwenye hati ya mashtaka, inayotuhumu kwamba kulikuwa na nia ya kuitisha Serikali ya Jamhuri ya Muungano.
Walitakiwa kuonyesha matokeo ya nia hiyo—Serikali ya Jamhuri ya Muungano ilitishika au haikutishika.
Na walitakiwa kuonyesha katika Information kwamba, walipokuwa wakileta huo ushahidi, Serikali ya Jamhuri ya Muungano ilitishika au haikutishika.
Upande wa mashtaka haukuonyesha hilo kwenye hati yao ya mashtaka (Information).
Walifikiri unarusha mashtaka hivi, litakalompata na limpate.
Hawakubainisha katika mashtaka kwamba:
«“Any particular shown how the Executive of the United Republic has been intimidated.”»
That failure to show the results makes the case defective.
Essentials of the Information must be shown.
Lazima uonyeshe vielelezo vya mashtaka, na usipovionyesha, hati ya mashtaka ni batili.
Siyo tu kwamba hawakuonyesha vielelezo kwenye hati yao ya mashtaka; vilevile hawakuonyesha ushahidi wowote kuhusu jinsi Serikali ya Jamhuri ya Muungano ilivyotishika.
Serikali ya Jamhuri ya Muungano ipo katika Sura ya Pili ya Katiba.
Yote yanaelezea Serikali ya Jamhuri ya Muungano.
Serikali ya Jamhuri ya Muungano inaongozwa na Rais.
Ndiyo Kiongozi Mkuu wa Serikali na ndiye Amiri Jeshi Mkuu.
Akipaswa aje atoe ushahidi kama Serikali yake imetishika.
Mimi niliomba aitwe.
Walionishtaki wakapinga vikali, na Waheshimiwa Majaji mkanikubalia.
Mimi, ambaye nilishtakiwa, nilitaka aitwe, lakini hakuna.
WEKA EMOJI KAMA UNASOMA
SHARE ZAIDI UJUMBE UFIKE MBALI.
Unaijua Trilion au akili umezitia matakoni?Kesi imetumia Trilion zaidi ya 60 ili mtu anyongwe kweli kazi kweli kweli kumbe bora kujinyonga
Ustadhi nina tende na ubwabwa sinia mbili......Lisu anajitetea kuchoropoka kwenye kunyongwa
Dying horse teke zito sana hurusha
Hawakosi cha kusema ila kwa misuri iliyogongelewa ni ngumu kupanguaTundu Lissu ameisoma sheria na ameijua sheria. Mawakili wa serikali sijui watawezaje kupangua hoja za Lissu
Aaah bora wakae kimya wameshtuka wakiongea wataharibu zaidi 😁. Ishakua mbayaHivi kwenye kipengele hichi mawakili wa serikali hawaruhusiwi kuingilia mazungumzo? Maana tangu aanze kugonga nyundo siijaona akatishwe.
Tuleee matakoUnaijua Trilion au akili umezitia matakoni?
Mkuu ni baadae saa saa 8:30. Au mpaka j3 ?JAJI NDUNGURU:
“Kwa mengi hayo hayo, kwa leo tuishia hapa. Tuendelee siku ya Jumatatu saa 3:00 asubuhi.”
🚶🏾♂️ MAJAJI WANATOKA.
TUKUTANE SAA 8:30 MCHANA WASOMI.
Nadhani walipaswa kutoa taarifa badala ya kufanya kimyakimya, sidhani kama wana nia mbayaHawa JamiiForums wiki hii ya final submissions wamekuwa wana utaratibu tofauti na mimi nauona ni wa hovyo kwa sababu unasumbua Members humu, how come unaitoa updates kwenye comment unaipeleka kwenye uzi wa kwanza, kuna wengine wanakuwa hawazioni updates kwa sababu wanakutana na comments za kawaida tu.
Huu utaratibu nimeanza kuona kwenye huu muda wa Mh Lissu anavyiwasilisha mawasilisho yake. Kwanini wanafanya huu utoto?? Waache kama siku zote. Wanajifanya wana ujuaji mwingi matokeo yake wanaharibu (turejee kwenye App 😂😂😂)
Wapunguze ujuaji bhana wanaboa na watu humu tunafanya kwa mapenzi yetu sio kwa kulipwa
Ungemwambia kuna kitimoto kilo mbili na Ugali, angeshakupigia simu tayari....anapenda sana mdudu..😂😂Ustadhi nina tende na ubwabwa sinia mbili......
Utakuwa umetoka kumiminiwa wewe; si kawaida yako hiiUstadhi nina tende na ubwabwa sinia mbili......
No stone will remain unturned.🗣️ LISSU:
“Saa 1 na nusu, Waheshimiwa Majaji.”
Off the record:
“Ni kwamba nakesha usiku kufanya kazi hii.
Ninapoomba kupumzika kwa saa 1 na nusu, ni ili nipate kupumzisha mwili kidogo.”
Nani kakukaza leo?Tuleee matako
Kutangaza kesi zaidi ya Bil 5 mwaka mzima
Zile guta zinazomleta mtuhukiwa Bil 3
Posho za Siku kwa wenye mamlaka Bill 57
Rushwa zaidi ya Bilion 56
Usafirishaji Bil 5
Jumlisha... ili ikae matakoni vizuri
Akitoka apewe kazi ya kukazwa ili afikirie kujinyonga... Bure kabisaNani kakukaza leo?
Tena Akazwe hasa hadi zinasane... Tuone raha mjini kujinyonga... Cancer ... HIV/AIDs, Fisadi,Nani kakukaza leo?
Lissu katepeta ndembendembe alileta matani mbele ya dola sasa mnyongo upo mbele yake.Akitoka apewe kazi ya kukazwa ili afikirie kujinyonga... Bure kabisa
Bora myongo wa Trilion 60 kajenga reli ya sgr dar nzimaLissu katepeta ndembendembe alileta matani mbele ya dola sasa mnyongo upo mbele yake.
Sijui kama wataweza, watasema nini kwa bosi? Lissu kumbe alikuwa anawasubiri kwenye kumi na nane, na hizi kumi na nane anapiga kila kona, mpaka zuio waliloweka la kutokuja mashahidi wake, imekuwa fursa kwa mshtakiwa.Aaah bora wakae kimya wameshtuka wakiongea wataharibu zaidi 😁. Ishakua mbaya
Hii ndio hoja ambayo inaonekana ndio ingetumiwa na Mawakili wa Serikali kumuangamiza kabisa Lissu kwa sababu kwenye zile vifungu vya kisheria ya makosa ya Uhaini ipo na inaonesha ikitumiwa vizuri Lissu angekutwa na kosa la uhaini tofauti na hoja zingine zote ambazo zipo nje kabisa na uhaini waliomstaki but kwa haya majibu ya Lissu kapangua ile mbaya nimemvulia kabisa kofia huyu jamaa Sheria anajua ile mbaya.TUNDU LISSU ANAFANYA MAJUMUISHO YA MWISHO MAHAKAMANI