Kilichomfukuzisha kazi Maulidi Kitenge Wasafi FM chajulikana

Poa. Naye atafute WASAFI yake aone uchungu wa kubwabwaja mali. Madume suruali bwana, yanakera.
yaani nimepata safari za kukwea mji pipa kuelekea ughaibuni!!nikae hapo nakula vumbi kwa nini?? Lazima utakuwa umerogwa tu wewe...

Ulaya bana ukiwa na connection nzuri kucheka au kulia tu unalipwa hela ndefu.....utasikia "once more... Myeeeee!!! Heee! mayooo! Wantela waitu Mweeeee!!.jilambwene mayaweee!!jili kuchibhunu!!

Tena basi ukae Daisalama kipawa joto!
mavi ya viwandani Kwa bakhresa nk wewe!.
miungurumo ya midege wewe!!... Asa weye ntu sanamu?
Maji ya visima vyenye mavi wewe.
Wasimbe wengi wako hapo

huyo boss mtoro na anifukuze tu!!
 
Alitoka efm na kitenge si ndio
Yeye alitangulia kutoka EFM kabla ya kitenge akaenda azam (ufm). Kitenge alivyoenda wasafi, na Mussa Kawambwa akaja akitokea ufm.
Kwa hiyo wakakutana watu waliowahi kufanya kazi sehemu moja.
Baada ya miezi miwili sijui mitatu, Mussa akapiga U TURN akarudi UFM.
 
Paragraph namba mbili nimeipenda/nimeielewa.
[emoji112][emoji112][emoji112][emoji112][emoji112]
 
Ila mbona kabla hajaenda wasafi fm hizi safari alikuwa nazo?

Au mtu aliyempa mktaba alikuwa hajayaona haya kabla ya kumtoa Efm?


Maulid Wa Kitenge Kocha Mchezaji alienda Wasafi fm kwa kandarasi ya muda mfupi lengo kubwa ni kuikuza/ku-brand kituo hicho maana kilikuwa bado kichanga ukilinganisha na sasa.

La lengo limekamilika sasa udaku na story za blog zetu zitatengeneza kila story za mbwembwe.
 
Duuuh jamaa alishaanza jenga jina kule ufm na kipindi chake cha michezo kumbe alikuja kusepa na kurudi tena tamaa za umaarufu izi....
 
Huyu Mwamba Mau anafanya biashara gani kule kwa Joe Biden??
 
We subiri,kasema kitenge jumatatu kesho anafunua kila kitu

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Bora wamepunguza wapiga kelele , gakuna mtangazaji pale Duamond alitupiga kwa yule jamaa
 
600k🤔🤔🤔 hapana hapa tunapigwa, Maulidi sio mtangazaji mzuri ila pia sio wa kulipwa 600k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…