Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Magufuli alikuwa mtekelezaji wa yote mazuri na mabaya, huwezi kumlinganisha na hii kwikwi.Utawala wa awamu ya 5 wa Mh. Magufuli ulijaa futuhi, propaganda na ukatili wa kila aina.
Alipambwa na vyombo vyote vya habari kwa hofu kuu. Mpaka wakaiita serikali yake ni serikali ya viwanda ilhali ndiyo serikali iliyoua channel ya ukuaji wa viwanda. Upotevu wa fedha usio wa kawaida ulioonekana kipindi cha Magufuli. CAG bwana Asad alipowadokeza wananchi aliishia kushikiwa mitutu.
Utekaji wa hovyo uliasisiwa kwenye serikali ya MAGUFULI.
LISSU alipigwa mchana kweupe kwakuwa alionekana kumzidi umaarufu Rais .
Wapinzani walikatazwa kukusanyika. Wakafanya mikutano ya ndani na baadaye hata hiyo ya ndani waliishiwa kushikiwa na polisi.
Baada ya kufa Magufuli wapinzani wakaamua watumie utawala wa Rais Samia kama uwanja wa kujinafasi kupoozea machungu ya awamu ya 5.
Kosa alilolifanya Samia ni kuruhusu wapinzani wafanye awamu yake kama kivuli baada ya safari ndefu ya juani.
LISSU alipigwa mchana kweupe ni akina nani walithubutu kuandamana?
Upoteaji wa watu na utekaji awamu ya 5 ni akina nani walithubutu kuandamana?
Hali ngumu ya maisha awamu ya 5 ni akina nani walithubutu kuandamana?
Awamu ya 5 maisha yalikuwa magumu sana kuanzia kwa wananchi mpaka kwa wafanyakazi wa serikali.
Wengi walirudi vijijini lakini ule utawala ulikuwa wa chuma hakuna mtu alipeleka pua barabarani.
Rais Samia usikubali kuwa mnyonge. Yeyote anayetikisa utawala wako mnyooshe.
CCM ni maiti inayotembea. Watanganyika washaikataa kabisa. Huyu Samuya ashajipaka kinyesi kuua wale vijana zaidi ya 10,000, kajipa laana kubwa- hapo alipo hana furaha na huo Urais wake.Utawala wa awamu ya 5 wa Mh. Magufuli ulijaa futuhi, propaganda na ukatili wa kila aina.
Alipambwa na vyombo vyote vya habari kwa hofu kuu. Mpaka wakaiita serikali yake ni serikali ya viwanda ilhali ndiyo serikali iliyoua channel ya ukuaji wa viwanda. Upotevu wa fedha usio wa kawaida ulioonekana kipindi cha Magufuli. CAG bwana Asad alipowadokeza wananchi aliishia kushikiwa mitutu.
Utekaji wa hovyo uliasisiwa kwenye serikali ya MAGUFULI.
LISSU alipigwa mchana kweupe kwakuwa alionekana kumzidi umaarufu Rais .
Wapinzani walikatazwa kukusanyika. Wakafanya mikutano ya ndani na baadaye hata hiyo ya ndani waliishiwa kushikiwa na polisi.
Baada ya kufa Magufuli wapinzani wakaamua watumie utawala wa Rais Samia kama uwanja wa kujinafasi kupoozea machungu ya awamu ya 5.
Kosa alilolifanya Samia ni kuruhusu wapinzani wafanye awamu yake kama kivuli baada ya safari ndefu ya juani.
LISSU alipigwa mchana kweupe ni akina nani walithubutu kuandamana?
Upoteaji wa watu na utekaji awamu ya 5 ni akina nani walithubutu kuandamana?
Hali ngumu ya maisha awamu ya 5 ni akina nani walithubutu kuandamana?
Awamu ya 5 maisha yalikuwa magumu sana kuanzia kwa wananchi mpaka kwa wafanyakazi wa serikali.
Wengi walirudi vijijini lakini ule utawala ulikuwa wa chuma hakuna mtu alipeleka pua barabarani.
Rais Samia usikubali kuwa mnyonge. Yeyote anayetikisa utawala wako mnyooshe.
Weka ushahidi wa kura 31m zilipotoka. Magufuli anafahamika kuwa alikuwa kiongozi dhalimu, huyu kamuiga. Haya ndio madhara ya kuiga tembo kunya.Utawala wa awamu ya 5 wa Mh. Magufuli ulijaa futuhi, propaganda na ukatili wa kila aina.
Alipambwa na vyombo vyote vya habari kwa hofu kuu. Mpaka wakaiita serikali yake ni serikali ya viwanda ilhali ndiyo serikali iliyoua channel ya ukuaji wa viwanda. Upotevu wa fedha usio wa kawaida ulioonekana kipindi cha Magufuli. CAG bwana Asad alipowadokeza wananchi aliishia kushikiwa mitutu.
Utekaji wa hovyo uliasisiwa kwenye serikali ya MAGUFULI.
LISSU alipigwa mchana kweupe kwakuwa alionekana kumzidi umaarufu Rais .
Wapinzani walikatazwa kukusanyika. Wakafanya mikutano ya ndani na baadaye hata hiyo ya ndani waliishiwa kushikiwa na polisi.
Baada ya kufa Magufuli wapinzani wakaamua watumie utawala wa Rais Samia kama uwanja wa kujinafasi kupoozea machungu ya awamu ya 5.
Kosa alilolifanya Samia ni kuruhusu wapinzani wafanye awamu yake kama kivuli baada ya safari ndefu ya juani.
LISSU alipigwa mchana kweupe ni akina nani walithubutu kuandamana?
Upoteaji wa watu na utekaji awamu ya 5 ni akina nani walithubutu kuandamana?
Hali ngumu ya maisha awamu ya 5 ni akina nani walithubutu kuandamana?
Awamu ya 5 maisha yalikuwa magumu sana kuanzia kwa wananchi mpaka kwa wafanyakazi wa serikali.
Wengi walirudi vijijini lakini ule utawala ulikuwa wa chuma hakuna mtu alipeleka pua barabarani.
Rais Samia usikubali kuwa mnyonge. Yeyote anayetikisa utawala wako mnyooshe.
Kazi gani iliyoonekana?..alizuwia wakulima kuuza nje,aliwaondolea ruzuku ya mbolea,hakuajiri,aliua ajira kipindi chake zikashuka, biashara zilikufa,mikopo elimu ya juu shida,wafanyakazi kupandishwa madaraja hakunalakini kazi ilionekana mama ako ana nini cha kujivunia
Alitekeleza mazuri gani?Magufuli alikuwa mtekelezaji wa yote mazuri na mabaya, huwezi kumlinganisha na hii kwikwi.
Jpm aliset new standards, na akabadili fikra za watanzania from thereUtawala wa Hayati Chuma JPM uli set standard za ni namna gani tukiwa na viongozi serious nchi inaweza kupiga hatua. Huyu chura kiziwi amepata miaka minne ya kuonyesha anachoweza kulifanyia taifa hili matokeo yake kaishia kununua Range rovers ikulu na kuishia kuomba mikopo ya kujenga vyoo kwenye shule za msingi na sekondari, wananchi wakihoji anaanza kuwatishia kua “mimi ni amiri jeshi mkuu” kituko cha mwaka hiki.
Mtu anatoa ahadi za kujenga Soko 2025 huku watu tumejionea kwa macho Bwawa la mwalimu nyerere likijengwa bila kujali kelele za kina Nape nnauyeJpm aliset new standards, na akabadili fikra za watanzania from there
Ccm wanataka ku reverse hiyo kitu which is impossible
Mbolea yenu ya ruzuku imesababisha tatizo la ukosefu wa mbolea mikoa ya Pwani na Dar.Kazi gani iliyoonekana?..alizuwia wakulima kuuza nje,aliwaondolea ruzuku ya mbolea,hakuajiri,aliua ajira kipindi chake zikashuka, biashara zilikufa,mikopo elimu ya juu shida,wafanyakazi kupandishwa madaraja hakuna
Huyu kajisaidia kisha badala ya kujitawaza kajipakaza mwili mzima, kavaa vizuri ili watu eti wasijue- inzi wamemuumbua.Weka ushahidi wa kura 31m zilipotoka. Magufuli anafahamika kuwa alikuwa kiongozi dhalimu, huyu kamuiga. Haya ndio madhara ya kuiga tembo kunya.