Kilichomharibia Rais Samia ni namna alivyoanza baada ya kifo cha Magufuli. Anaweza kurekebisha, anayo nafasi

Kilichomharibia Rais Samia ni namna alivyoanza baada ya kifo cha Magufuli. Anaweza kurekebisha, anayo nafasi

Kwa kinyakyusa inaitwa Point of No Return, kuwa madudu mengi yamefanyika na hakuna tena nafasi ya marekebisho.

Nafasi iliyobaki ni kungolewa kutoka katika mamlaka aliyonayo.
 
Huyu bibi amejikaanga na mafuta yake mwenyewe.Hakustahili kabisa kuendelea kugombea tena awamu ya 2025/2030 Maana uwezo wake kila mtz mwenye akili timamu ameuona kuwa ni mdogo.90% ya watanzania hawamtaki ndiyo maana 29.10.2025 wamekinukisha na watakinukisha tena 9.12.2025 ili kumshinikisha ajiuzulu.Kwa Sasa kila nchi duniani haimtaki.
 
JPM kaseti standards za uongozi bora wenye nidhamu. Watu kwanza kisha serikali.

Kibibi kaamua kuwa contrary kwa kuutukuza ufisadi na kukumbatia ufisadi akishirikiana na wezi wa fedha za umma. Kwake yeye mafisadi kwanza kisha watu ndio daraja linalofata.
 
Back
Top Bottom