Kilichomponza mhadhiri ‘gaidi’ wa UDOM ni hiki hapa

1. Juu ya Muungano, namuunga mkono. Kilichopo ni Kiini Macho. Muungano ni Taifa Moja Serikali Moja. Over.
2. Juu ya Demokrasia, kwangu yeyote anayetetea huo upuuzi basi lolote limkute.
 
Zanzibar ni nchi
Tanganyika ni mkoa

Nyerere alizingua sana!
Huna sababu yoyote ya kumhusisha Nyerere kuhusu ujinga ulionao mwenyewe.
Nyerere hahusiki na upumbavu unaofanyika sasa hivi. Elekeza lawama zako mahala zinakotakiwa kuelekezwa.
 
Mhadhiri amefundisha somo kwa ufasaha lakini serikali hii ya kigaidi, kiquma na kichoko inakuja kumkamata bila sababu ya msingi.
Wewe Mrwanda kwani wewe ulikuwemo kwenye hilo darasa alilokuwa anafundisha au unawandanganya nyumbu wenzio tu hapa?
 
Huku kwetu mgambo hawana mishahara, vipi hao mgambo wa huko hawalipwi mishahara pia?
No sio mgambo wote hawalipwi mishahara, hata huku auxiliary polisi wote na askari kama Tanapa, Fire, wale wa makampuni ya ulinzi, wote wameajiriwa na wanalipwa. Wasiolipwa ni mgambo wa jiji ndio wanalipwa posho tuu
P
 

Mimi naona nilifaulu kwa kubahatisha darasani! Hapa haujaeleweka

Huku ni kujificha kwenye kivuli cha "muungano wa kipekee" kwa kuuficha ukweli

Ki ukweli muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni janja janja tu ya kisiasa na ipo siku hii janja janja itaisha

Kwanini kila nchi isi handle madaraka yake? Kwanini iwe Tanzania tu? Kwanini muungano wetu hauna defination inayojitegemea??
 
Huu ni muungano wa kiduwanzi kuwahi kutokea hapa Ulimwenguni. Ndio maana maCCM hayataki watanzania waujue ukweli. Mtu akisema ukweli lazima apewe kesi ya ugaidi.
 
Hizo quotations za kaijage umezipata wapi? Au Wewe ndiyo huyo mwanafunzi uliyemrekodi mwalimu kaijage?
 
Huna sababu yoyote ya kumhusisha Nyerere kuhusu ujinga ulionao mwenyewe.
Nyerere hahusiki na upumbavuunaofanyika sasa hivi. Elekeza lawama zako mahala zinakotakiwa kuelekezwa.
Basi sawa lawama ntakupa wewe mjukuu wa nyerere

much respect mkuu!
 
Na Rais naye je? au ni mwenyekiti wa mtaa yule?
Rais wa Zanzibar ndani ya muungango ni rais wa Zanzibar, ambayo ni sehemu ya JMT inayojitemea, ila kimataifa, rais wa Zanzibar ni rais jina tuu kwasababu Zanzibar sio nchi, ni sehemu ya JMT.
P
 
Hakuweka interpretation wala translation bali alicheza kwenye definition ileile iliyomo kwenye vitabu hivyo na kusaidia kuondoa upotoshaji wa muda mrefu. Hebu kwanza pitia definitions hizo hapo juu ujiridhishe mkuu.
Ww ulikuwepo darasani siku hiyo?na je umejuaje hicho ndo anachoshtakiwa kwacho?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…