Ni mume mzazi babu kaka shemeji nk huwezi ukawa unazungusha mtu mortuary uewanja mtu akitolewa mortuary anaenda kuzikwa ujinga huo ukomeshweHakuna shida yoyote wafu hawajui neno lolote kwa hiyo marehemu hawezi kusumbuliwa. Jambo la pili usifikiri wewe una akili kuliko jopo la watu wote waliokaa wakapanga huo utaratibu. Tatizo watanzania tunajifanya tunajua kila kitu na kupenda kulalamika kwa kila kinachofanyika. Imefika muda tubadilike sasa
Ki ukweli si ubinamwana-adamuNinachojua kumsitiri mfu sio tu kumzika chini ya udongo, bali ni pamoja na kumuepusha na mizunguko ya aina hii.
Nikiuliza hapa nani angependa akifa awe anapelekwa uwanjan asubuh, anakaa huko masaa 12, na kisha jioni anarejeshwa nyumban kwake, kwa siku tatu mfululizo, nadhan hatapatikana.
[emoji848][emoji848][emoji15][emoji15][emoji15][emoji1549][emoji1549][emoji1549]
Jr[emoji769]
Koffi anan alikaa zaidi ya mwezi mmoja.Maandiko gani yanakataza kumzungusha Marehemu? Mimi kama screpa ningependa mnizungushe hata mwezi
Unataka watu wakeshe uwanjani wataangalia saa ngapi egoli na kukonyezana na waume na wake zaoWakati wa mwalimu Nyerere mwili ulibaki uwanjani watu waliaga usiku na mchana
Hawakujua Mkapa aliwakosea sana wananchi kwa kuwaita kokoto na malofaaa...!!Walidhani kutakuwepo na watu wengi ndio maana wakapanga hivo.
Kama mwengeKwa aliyoyafanya Mzee Mkapa kwa Taifa hili alipaswa azungushwe Tanzania nzima
Hakuna mtu anayeambiwa akeshe bali kila mtu anaenda kwa wakati unaomfaaUnataka watu wakeshe uwanjani wataangalia saa ngapi egoli na kukonyezana na waume na wake zao
😂😂😂Mimi kwasababu sijui kama mtu akifa roho yake inaona mwili unavyotendwa huku sina maamuzi, ila kudadeki kama nikifa mwili halafu roho inaona kila kinachotendwa atakayefanya tukio baya kwa mwili wangu atanitambua, namzaba vibao mbele za watu
Mi sitaki kucheka hiki kipindi cha majonzi tafadhali😊Kaburini atapata muda wa kutosha wa mapumziko. Hizo siku mbili tatu mbona inakuwa nongwa sasa?
Mngelalama amekimbizwa hamjamuonaMtu kashakufa,kwanini asiagwe siku moja,mwili wake ukapumzike
Watu walikuwa wachache sana tu. KAMA jana J3 mahudhurio hayakuwa makubwa kabisa. Yaani hiyo ondoaondoa hakika ni kuchosha maiti tu.Walidhani kutakuwepo na watu wengi ndio maana wakapanga hivo.
Ss Ben si ni bamdogo wa TaifaYule ni baba wa taifa
Ningekuwa familia hiyo mama angevaa white gown na vail kama bibi harusi japo nguo iwe ndefu tu ya kawaida. Ni harusi ya mwisho kwa mumewe.Ila walimvalisha lile shela jeusi na sura ile ya uzee na majonzi aliyokuwa nayo usoni dah, ngoja nisiseme alivyokuwa anaonekana
Sehemu nne muhimu za marehemu niMmmmh ,si mchezo ,natamani utiririke zaidi