Kilichotokea usiku huu kimenisikitisha sana, life is not fair

Hahah.. tukupe mji useme akaunti yako ilikuwa na kiasi gani??
 
ukiona chop ndotoni usikitumie huo ni mtego. .
 
Reactions: 511
Unajua lakini kama FaizaFoxy ni bibi yetu humu?
Wewe humpendi bibi yako? Hufurahi kumaikia bibi au kuona nasaha zake kwa sababu ni bibi? FaizaFoxy alipopotea kwa muda kwa kweli niliona kuna kitu kikubwa kimepotea humu.
 
Kama ulivyomalizia sentensi ya mwisho, huu ni ujinga
 

Umekuja kunianzishia uzi mkuu?
Me nilidhani yameishia pale!
Ila siku nyingne usione kila unayekutana nae kwenye kiwanja ni kapuku!
Btw weekend tukutane kiwanje gani nikuchape kilaji hadi usahau kwenu!
 
Siku hizi ndio una hadithi hizi?
 
8 figures Kwa makadirio ya kiasi cha chini kabisa, Simbanking ya jamaa inasoma zaidi ya dola milioni 10, zaidi ya bilioni 23 pesa za madafu au sio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…