Kilichotokea usiku huu kimenisikitisha sana, life is not fair

Bar inauza bia Tsh. 2000, ilakini inauza na kinywaji cha Dollar 300, na bdo mlipaji wa hiyo dollar 300 alikuwa na burungutu la kama milioni moja akataka kumchapa nalo mtoa mada usoni, kvant siyo chai
 
prince dulysykes a.k.a mr misifa acha kutuletea chai
 
ktk watu wenye ugonjwa wa afya ya akili ambaye hajitambui ni wewe. Ndio maana watu wa maana wameondoka jukwaa hili. huu upupu ndio nini.
 
sawa, si ulishaamka salama lakini 😌
 
Umeharibu "bloo" hapo mwisho.Kile kibwagizo cha "What the f***" umekiacha "bloo"!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…