Kilimanjaro Bus watangaza nafasi 30 za wahudumu wa mabasi huku wakijitokeza zaidi ya wadada 200 katika usaili

Kuna ubaya gani
 
Juzi nilikuwa nasafari nikawa na kibeg changu kimoja,kwenye buti wakasema niingie nacho ndani,kuingia nacho ndani pale juu kwa mizigo hakiingii,basi mlangoni kuna ilani kabisa usiweke mzigo chini utaharibu system ya kuchajia simu[emoji3] nilichokifanya nikachukua kile kibegi na kukiweka kichwani[emoji1787] muhudumu ikabidi acheke tu akaja akakichukua kile kibeg sijui alikiweka wapi mpaka tunafika Arusha akawa rafik yangu kabisa,hawa ni muhimu sana katika mabasi
 
Kweli uchumi umekua kazi zinaanza kuheshimika soon wahudum WA bar watakua graduates Kila kitu huduma itatolewa professionally,
Hongera sana kampuni za Kilimanjaro, Ratco, Tahmeed , abood na Tilisho kwa kutambua umuhimu WA good customer service
Wapo mbona sema huwezi wajua kwa sababu wanaficha, kuna mmoja amemaliza Chuo vha Uhasibu Arusha ni House Girl kwa mzungu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…