BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Kwa sababu ya sura au au uwezo wake? Hata Baa wako wahudumu walio paswa kuwa Kilimanjaro HotelKuna mhudumu wa Tilisho alifaa kuwepo Air Tanzania kabisa hawa mnaita sijui air hostess, sasa hawa tuwaite bus hostess.
Kwa njia ya Dar to Arusha kupiga ni ngumu, kidogo jamaa wana wakaguzi na ma spay wa kutosha, na Mabasi luxury huwa kupiha sio rahisi, ila zile ngarangara zile makonda wanajipigia hadi wananyanyua mikono juuSdhani kama inafika hiyo pesa...mshara ni 300000 .sema wanapiga sana kwenye posho huko na njianii..ni kazi nzuri ukitumia akili unatoka kabisa kimaisha...nina ndugu yangu kafanya hii kazi.now ana nyumba yake na kinoah chake life goes on.mimi mwenyewe nusura niifanye hii kazi wakati natafuta ajira na nilikuwa willing kabisa ningepata ningefanya but niliikosa .
si ajabu qualification ya kwanza ni kabila lako, ya pili kanda unayotoka
π€
Hao ni makondaktaKuna mhudumu wa Tilisho alifaa kuwepo Air Tanzania kabisa hawa mnaita sijui air hostess, sasa hawa tuwaite bus hostess.
Basi la watu 60 akugande wewe tukuna mmoja ni wa basi la shabiby aisee, aliniganda nimdinye hadi nikakimbia, hata baada ya kumwelewesha kwamba mimi ni mlokole nimeacha hizo dhambi bado ananifuata fuata hadi leo. nimekuja kugundua ameachika kwa talakaa liyokuwa amevamia ndoa ya mtu wakafunga ndoa magumashi bomani, na ametelekezewa mtoto anahangaika na yeyote atakayemwona. wapeni mishahara mizuri basi.
Something is better than nothing kumbuka wanakula bure na pesa za safari hupewa
kazi yake anaipenda na anaijua sana, yaani hachoki.Kwa sababu ya sura au au uwezo wake? Hata Baa wako wahudumu walio paswa kuwa Kilimanjaro Hotel
Hahahaha wanapiga mpaka wananyanyua mikono juuKwa njia ya Dar to Arusha kupiga ni ngumu, kidogo jamaa wana wakaguzi na ma spay wa kutosha, na Mabasi luxury huwa kupiha sio rahisi, ila zile ngarangara zile makonda wanajipigia hadi wananyanyua mikono juu
Tatizo KimoKuna mhudumu wa Tilisho alifaa kuwepo Air Tanzania kabisa hawa mnaita sijui air hostess, sasa hawa tuwaite bus hostess.
Kama nyumba ndo hizo hazina maajabu kwanza za kishamba ....Nyumba gani sasa za kujisiifu kwanza za kizamani na bei cherEE ni Kweli 95% Wana maisha mazuri,nyumba umeme maji ya bomba
Unajua bei ya basi Moja Marcopolo ?
Haya safisha macho Hapa na mahekalu Huko migombni View attachment 2672585View attachment 2672586
Qe Jamaa hujiamini na bado una akili za kitoto bado una ukabila kwa mbali ,unajaribu kudefend kila kitu cha kwenu rudi kijijini kwenu ukagombee nafasi ya ukondaktaπ π π .EE ni Kweli 95% Wana maisha mazuri,nyumba umeme maji ya bomba
Unajua bei ya basi Moja Marcopolo ?
Haya safisha macho Hapa na mahekalu Huko migombni View attachment 2672585View attachment 2672586
Hahahah hizo posho unapataje na basi za Kilimanjaro haziokotagi abiria njiani? π€£Sdhani kama inafika hiyo pesa...mshara ni 300000 .sema wanapiga sana kwenye posho huko na njianii..ni kazi nzuri ukitumia akili unatoka kabisa kimaisha...nina ndugu yangu kafanya hii kazi.now ana nyumba yake na kinoah chake life goes on.mimi mwenyewe nusura niifanye hii kazi wakati natafuta ajira na nilikuwa willing kabisa ningepata ningefanya but niliikosa .
Utokee mchango tu hapa utashangaa wale matajiri wa jf hii mada hawaioni au πππHumu wengi matajiri,humu wengi mshahara wao ni milion plus[emoji3] njoo sasa kwenye uhalisia hawana lolote!
Cha ajabu ni nini sasa hapo?Acheni wadada wafanye kazi.
Hakuna la kushangaza hapo 'Kazi ni kazi '
Tatizo huku jf kila mtu hua anajifanya mambo mazuri kumbe watu wanadhiki mpk kwenye kope za macho π
Kazi halali hio,wadada changamkieni fursa